Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kumpinga dikteta ukabaki salama mkuuUmenikumbusha MH Hawa Ghasia Na mbunge wa nkasi walichofanyiwa na jiwe uchaguzi mkuu 2020
Kwa huu ujinga huu ugonjwa utakaa muda mrefu sana hapa kwetuHakuna serikali ya kumsikiliza huyo Mbunge maana Chama na Serikali wameamua watu wafe huku waking'ang'ania msimamo wa "Hakuna Corona". Serikali inadhani inafanya vizuri kuwa Manunda, lakini inapocheza na maisha ya watu inajijengea kutoaminika. Itasema nini iaminike wakati watanzania wanaona inavyocheza na uhai wao?
Wapinzani wangezuia kumuongezea dikteta muda wa kutawalaHapa ndipo umuhimu wa wapinzani unapoonekana kwani ni wazi hili jambo wangeliaongelea Bungeni bila kuogopa/kumuogoa Bwana Yule.
"Sio juh tu ni amechanyikiwa" in kinana's voiceSijui tunafikiri tunamdanganya nani! JUHA mamlakani.
Imekuchoma hyo [emoji3][emoji3]Wewe ndiye mpumbavu kabisa.
Alisikika Jiwe akinena maneno hayo."mwambieni huyo mbunge asijisahau....asinichokoze.....mkumbusheni kuhusu namna ubunge wake ulivyopatikana"
... tatizo wanazipata wakiwa wamechelewa sana! Tungezingatia taratibu sahihi kwa wakati za kupambana na hili janga tungeokoa roho ngapi? Hadi majenerali, maprofesa na viongozi wa dini waanze kuteketea ndio wanashtuka? Sisi makapuku hakuna mwenye habari na sisi! Ajabu sana!Naona wabunge wameanza kupata akili sasa.
Kwa hiyo tunatolewa sadaka ili iwejeTatizo liko juu, kuna mtu asiye sahihi kukaa pale, analiangamiza taifa