Zacharia Isaay (Mbunge Mbulu): Serikali iache kigugumizi ieleze wazi kuhusu ugonjwa wa kupumua unaomaliza watu wa Mbulu

Zacharia Isaay (Mbunge Mbulu): Serikali iache kigugumizi ieleze wazi kuhusu ugonjwa wa kupumua unaomaliza watu wa Mbulu

Hongera kwa mh.Mbunge.Unaweza kufanya watu kuonekana wajinga kwa kipindi fulani lakini si wakati wote. Pia wapo wabunge wengi hawakuhitaji mabegi na walichukizwa sana kuonekakana wamebebwa na kishindo , ipo siku wataweka wazi.
Hii imepita kipimo hata bungeni japo kiukweli wanaogopa korona lakini wanaogopa kuvaa barakoa kujikinga.
Hii maana yake ni nini
 
Ikikubali we itakusaidia Nini.
Ikikubali wananchi watachukua tahadhari.Namshukuru huyu Mbunge wa Mbulu.Hivi inakuwaje wabunge wooooote pamoja na tunaiita nimonia.

Tunapata nimonia tumenyeshewa sisi,au tumelala kwenye kiyoyozi tukiwa Tunduma au makambako au Mufindi au basi tumekuwa watoto. wachanga tukaachwa kwenye beseni la maji baridi.

Acha nyeusi iwe nyeusi na nyeupe iwe nyeupe.Wanasiasa acheni wataalamu madaktari wanaodeal na wagonjwa waseme ukweli tupone.Waziri wa Afya haingii hosipitali kutibu wagonjwa wala kuwapima.Angekuwa anafanya hivyo,hizo taarifa angetoa tungezipokea,ila kwa sasa ni vigumu.

Bahati nzuru madaktari wengine ni watoto wa mjomba,watoto wa baba mdogo wanatutahadharisha.Hivyo tusiwe wachoyo,weka mambo yote wazi.
 
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Yeye aendelee kuchunga kibarua chake kwa kuwadanganya Watz. Sasa hivi hata wakibadilisha wakaiita Tb. hatudanganyiki tena. Mbunge katumbua jipu linasubiri wa kulikamua.
 
Kama mwili wako ni wa serikali endelea kusubiria tamko.Sisi wengine tuliamua kufata ushauri wa wataalamu toka kitambo.
 
Kama mwili ni wa serikali endelea kusubiria tamko,ukifa wwe anazaliwa mwingine.
 
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu....
Tumesema bunge ni la ccm hivyo hatufuatilii hizi comedy zao, michango yao ni kama vile wanamtekenya mfalme
 
Huo ni Ugonjwa wa kupumuwa aka ni Ugonjwa wa Corona Virus na tiba yake ipo kwa Mtu mwenye kutaka anitafute kwa wakati wake ili nipate kumtibia ili aweze kupona hayo maradhi ya kupumuwa aka Corona Virus.
COVID-19'S DAMAGING AFFECTS ON THE BODY KORONA VIRUS.jpg


COVID-19'S DAMAGING AFFECTS ON THE BODY:::: MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA AKA HOMA YA MAPAFU UGONJWA WA KUPUMUWA YANA SHAMBULIA SEHEMU KUU SITA ZA MWILI WA BINADAMU.

Growing evidence suggests that the coronavirus, mostly known to cause
respiratory illness, can also affect many of the body's primary organs.

BRAIN::: UBONGO
People with COVID-19 have had strokes and sizures. Some have reported confusion or delirium.
Not directly involving the brain but a central nervous issue. Many patients have reported losing theirsense smell.


HEART:::: MOYO
Doctors have reorted inflammation to the heart and damageto the muscle.
Some patients have diead from severe heart attacks.

LUNGS::: MAPAFU

The Virus can cause Pneumonia, in which the lungs become inflamed
and fill with fluid.Patients may require ventilation .As the infection
progresses, the virus can cause serious lung damage,which can be fatal.


BLOOD VASSELS:: MISHIPA YA DAMU

Blood clotting in major arteries and veins has been reported . Clots can break off
and damage multiple organs by stooping blood flow.


KIDNEYS::: MAFIGO
Many COVID-19 patients suffer serious kidney damages
and require dialysis.


INTESTINES:::: NA KWENYE UTUMBO

Roughly 20% of patients report diarrhea as an early symptom.
The virus has been found in the lower intestinal tract of some patients.
 
kwani huyu mbunge ni mtaalamu wa afya? Tunao wataalamu kwenye wizara husika, tuna Dr. Gwajima, Dr. Mollel nk. Hao kama kiutaalamu hawajaona tatizo basi asiye mtaalamu atalionaje? Vinginevyo tukubaliane na wabunge waliosema wasomi (kwa vyeti) 'wanaliagusha' taifa, na labda basi na hao wa wizara hii wamo.
Na kama yule aliyeshindwa kuapa tulidoubt elimu yake, je hao wa afya tunawaamini vipi?
 
Back
Top Bottom