Zaeni Watoto mtakaoweza kuwatunza, acheni kuwatesa uzao wa kwanza (firstborn) kwa Majukumu

Zaeni Watoto mtakaoweza kuwatunza, acheni kuwatesa uzao wa kwanza (firstborn) kwa Majukumu

Uzazi hauna condition kwamba uzae wangapi kulingana na uchumi wako. Still binadamu ana sifa kama za viumbe wengine hai atazaa tu mpaka ukomo wa uzazi wake. Ishu ya kutokuzaa labda usifanye mapenzi naked au umezuia uzazi kwa njia zozote. Kama hutaki kuzaa na viungo vya uzazi havina dosari hutapata watoto
 
Back
Top Bottom