Zahanati kila kata

BabaK

Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
14
Reaction score
0

Tuwe na huruma na Watanzania hasa tunapotaka kuchukua ridhaa kwao, kuwaongoza na nakuhakikisha huduma za msingi zinapatikana kwa ubora unaoridhisha
 
Achana nao hao...wabishi kinoma...muulize chama gani kizuri atakuambia CCM! Mimi nikienda village kwangu huwa nakereka kwa ubishi wa watu....hajui kuwa CCM inawadidimiza...ati wanakuambia chama kingine kitaleta balaa, bora hii hali....nikijaribu kuwaelimisha, naishi kuambiwa tai mkaidi, CCM imenisomesha halafu naleta jeuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…