Achana nao hao...wabishi kinoma...muulize chama gani kizuri atakuambia CCM! Mimi nikienda village kwangu huwa nakereka kwa ubishi wa watu....hajui kuwa CCM inawadidimiza...ati wanakuambia chama kingine kitaleta balaa, bora hii hali....nikijaribu kuwaelimisha, naishi kuambiwa tai mkaidi, CCM imenisomesha halafu naleta jeuri!