KERO Zahanati ya Kazuramimba Wilayani Uvinza inawatoza Wajawazito wanaoanza Kliniki TZS 7,000

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wauguzi wa Zahanati ya Kazuramimba, iliyopo Wilaya ya Uvinza, wanawatoza wazazi wanaofika kwa ajili ya kuanza kliniki ya uzazi kwa mara ya kwanza kiasi cha Sh 7,000.

Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba fedha hiyo hutolewa moja kwa moja kwa muuguzi kwa mkono. Tunajiuliza, je, fedha hiyo inaingia katika mfumo husika? Inatozwa kwa ajili ya huduma gani?

Wakiulizwa, wauguzi wanaeleza kuwa fedha hiyo ni kwa ajili ya vipimo. Hata hivyo, vipimo vilivyofanyika kwa mama ni kipimo cha ujauzito, VVU na wingi wa damu.

Tunaomba mamlaka husika ifuatilie suala hili na kutoa ufafanuzi kuhusu utaratibu sahihi wa malipo hayo, kiwango kinachopaswa kulipwa na namna fedha hizo zinavyopaswa kupokelewa na kurekodiwa.
 
Safi sana mama anaupiga mwingi
downloadfile-50.jpg
 
Mwanasiasa: CCM oyeeeee
Wananchi: Oyeeeeeee
Nyanoko 😅
 
Back
Top Bottom