KERO Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi haifai hata kidogo kutumika ila hatuna jinsi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
​
Wananchi wa Kijiji cha Mbuchi, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Pwani wanapitia katika kipindi kigumu kutokana na hali ya miundombinu ya Zahanati ya Kijiji cha Mbuchi kuwa mibovu hali.

Hali hiyo inasababisha utoaji wa huduma katika kituo hicho kutokuwa rafiki hasa nyakati za mvua zikinyesha, Zahanati ya Mbuchi.
​
 
Poleni sana wanakijiji wa Mbuchi hilo jengo halifai kwa matumizi ya binadam. Serikali ya kijiji ipo hapo kweli?
 
Barabara ya kufika katika kijiji ni mbovu mbovu haijawahi kuwekwa kifusi hata cha mchanga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…