Zahera ameifanya isiwe na uchu wala wivu wa ushindi

Sasa Yanga imecheza mechi 3 LDW hivi kwa trend hii inaleta logic kuwa Yanga ni mbovu kias unachotaka kuaminisha?
Hapo chati ya Yanga inapanda.Haishuki.Sasa sijui wewe unataka nini.Tuone baada ya mechi 10 Yanga itakuwa wapi!Mechi 10 kwangu ndo huwa naona mwelekeo wa timu kwa ujumla.
 
pesa ndo mchawi kwa yanga na si wachezaj, pesa za michango haziwez kuendesha mpira wakisasa tena kwa tim kubwa kama yanga hapa kila siku mtatafuta mchawi
 

Nadhani unalo tatizo la msingi kuhusu uelewa wa issues na maandiko mbalimmbali...unashindwa kuelewa maana ya andiko na nini mwandishi amedhamiria kupeleka ujumbe gani ...anyway niachie hapo maana kuendelea kujibizana hapa is a waste of time...kama huelewi maana ya 'Yanga ikiendelea hivi au na mwenendo huu inaweza ikajikuta ikipigigania kutoshuka daraja' basi ni wazi tuna safari ndefu
 
he must go!
sack him!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…