Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
YEEEESSSSSSSSimba wanashinda mechi kwa kuhonga wachezaji wa timu pinzani, Yanga hawahongi ndio maana wanapaniwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YEEEESSSSSSSSimba wanashinda mechi kwa kuhonga wachezaji wa timu pinzani, Yanga hawahongi ndio maana wanapaniwa sana
Sasa Yanga imecheza mechi 3 LDW hivi kwa trend hii inaleta logic kuwa Yanga ni mbovu kias unachotaka kuaminisha?sawa..nayaheshimu mawazo yako...ila hilo la viwango kupanda sina hakika nalo...upo wakati viwango vyetu vvilikuwa juu kabisa...ila kama huoni kuwa Yanga kama itaendelea hivi ilivyo inaweza ikajikuta inapambana kushuka daraja nalo ni sawa tu...ni mtazamo tu..
Sasa Yanga imecheza mechi 3 LDW hivi kwa trend hii inaleta logic kuwa Yanga ni mbovu kias unachotaka kuaminisha?
Hapo chati ya Yanga inapanda.Haishuki.Sasa sijui wewe unataka nini.Tuone baada ya mechi 10 Yanga itakuwa wapi!Mechi 10 kwangu ndo huwa naona mwelekeo wa timu kwa ujumla.
he must go!Yanga ya sasa ikifunga goli moja tu inapaki Basi. Au ikitokea ikabahatika kusawazisha wanarudi nyuma wote kulinda .
Tena kipa anapoteza mda makusudi ili kulinda sare. Maajabu ya Dunia,acha Simba watucheke.
Ni mbinu ya hovyo kabsa kuwahi kuiona kwa timu yenye malengo ya kutwaa ubingwa.
Kwa kawaida hii huwa ni mbinu ya timu inayojinusuru kushuka daraja. Mbaya zaidi mbinu hii imekua ikiwaghalimu, lakini Zahera anasema eti haimnyimi usingizi.
Kama halimnyimi usingizi anangoja nini pale Yanga? Yanga inatafta sare hadi mechi ya kirafiki? Viongozi fuatilieni kwa karibu ni nini Zahera anafundisha mazoezini.
Kocha gani hajui hata kusajili. Kumbukeni msimu huu zinashuka timu 4 msije sema hatukuwambia. Shauri enu!!