Zahera anaiharibu team kwa Kuabudu Ushirikina

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Hii tabia kaileta haina manufaa kwa team kabisa. Kocha anaabudu sana ushirikina matokeo yake Yanga inaathirika kila mara.

Yanga inapigwa bao mbili na Lipuli sababu wachezaji wanaamini katika ushirikina. Tok jana jana zinarushwa videos za yanga wakifanya ushirikina.

Mara nying TFF imewapiga yanga fine kwa tabia hizo. Msimu huu imekuwa too much zahera fundisha mpira siyo kutuletea waganga wako tu kila wakati.tumeshachoka.
 
TFF hawa vyura inavyoonekana adhabu haziwatoshi, leo tena wameingiza mambo ya kishirikina wakati wanacheza na lipuli baada ya kwenda kwenye kibendera na kufungua kitambaa
 
Hii tabia kaileta haina manufaa kwa team kabisa. Kocha anaabudu sana ushirikina matokeo yake Yanga inaathirika kila mara.

Yanga inapigwa bao mbili na Lipuli sababu wachezaji wanaamini katika ushirikina. Tok jana jana zinarushwa videos za yanga wakifanya ushirikina.

Mara nying TFF imewapiga yanga fine kwa tabia hizo. Msimu huu imekuwa too much zahera fundisha mpira siyo kutuletea waganga wako tu kila wakati.tumeshachoka.
Mngeshinda pia ungekuja na haya mapovu
 
Yule Jamaa anayeuza Yanga mbovu na dola chakavu yupo wapi,aje atangaze na huku....
 
Watani msisahau kuniletea ulanzi lita mbili, nitalipa na hela ya usafiri
 
Vipi tena. 😂... Uganga wa CONGO umegoma IRINGA??.. wa hehe sio watu wazuri
 
Vipi tena. [emoji23]... Uganga wa CONGO umegoma IRINGA??.. wa hehe sio watu wazuri
Zahera Ndiye kocha bora kabisa katika ligi ya Bongo. Zahera hapepesi maneno anazungumza kweli, Ukweli wake ndio ulioifanya Yanga iwe inaongoza Ligi mbaka sasa. Uwezo wake unaonyesha kweli amefundisha Ulaya kwa maana anambinu sahihi za kimchezo.
 
Mtaongea mengi mwaka huu ndala fc
 
Zahera Ndiye kocha bora kabisa katika ligi ya Bongo. Zahera hapepesi maneno anazungumza kweli, Ukweli wake ndio ulioifanya Yanga iwe inaongoza Ligi mbaka sasa. Uwezo wake unaonyesha kweli amefundisha Ulaya kwa maana anambinu sahihi za kimchezo.
KAMWENEEEEE
 
Zipi? Za kukwepa mageti?umewah ona wapi team ya ulaya inakwepa njia sahihi? Au ulaya ya huko kwenu? Acha kutufanya yanga tuwe mafala. Mechi ya leo tu unaona tulivyokuwa tunatuma watu wanahangaika goli la lipuli...

Ubora wa kocha unatokana na kuropoka?
 
mbu mbu mbu bana, wana Yanga tumetulia lakini Simba A.K.A kubebwa fc wanatapa tapa tu. Makombe tumewaachia hatuyataki chukueni tuacheni tujenge timu
 
Zipi? Za kukwepa mageti?umewah ona wapi team ya ulaya inakwepa njia sahihi? Au ulaya ya huko kwenu? Acha kutufanya yanga tuwe mafala. Mechi ya leo tu unaona tulivyokuwa tunatuma watu wanahangaika goli la lipuli...
Siungi mkono vitendo vya kishirikina ila timu zote Tz na Afrika kwa ujumla zinaamini ushirikina! Hii ni pamoja na Simba hii iliyofungwa khamsa Congo na kule Uarabuni! Imani za kishirikina ni tatizo katika soka letu tuungane kuzipiga vita!
 
Back
Top Bottom