Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mngeshinda pia ungekuja na haya mapovuHii tabia kaileta haina manufaa kwa team kabisa. Kocha anaabudu sana ushirikina matokeo yake Yanga inaathirika kila mara.
Yanga inapigwa bao mbili na Lipuli sababu wachezaji wanaamini katika ushirikina. Tok jana jana zinarushwa videos za yanga wakifanya ushirikina.
Mara nying TFF imewapiga yanga fine kwa tabia hizo. Msimu huu imekuwa too much zahera fundisha mpira siyo kutuletea waganga wako tu kila wakati.tumeshachoka.
Zahera Ndiye kocha bora kabisa katika ligi ya Bongo. Zahera hapepesi maneno anazungumza kweli, Ukweli wake ndio ulioifanya Yanga iwe inaongoza Ligi mbaka sasa. Uwezo wake unaonyesha kweli amefundisha Ulaya kwa maana anambinu sahihi za kimchezo.Vipi tena. [emoji23]... Uganga wa CONGO umegoma IRINGA??.. wa hehe sio watu wazuri
KAMWENEEEEEZahera Ndiye kocha bora kabisa katika ligi ya Bongo. Zahera hapepesi maneno anazungumza kweli, Ukweli wake ndio ulioifanya Yanga iwe inaongoza Ligi mbaka sasa. Uwezo wake unaonyesha kweli amefundisha Ulaya kwa maana anambinu sahihi za kimchezo.
Hata Mwenyekiti mpya wa Yanga alisema hela za usajili atapewa Zahera
Zahera Ndiye kocha bora kabisa katika ligi ya Bongo. Zahera hapepesi maneno anazungumza kweli, Ukweli wake ndio ulioifanya Yanga iwe inaongoza Ligi mbaka sasa. Uwezo wake unaonyesha kweli amefundisha Ulaya kwa maana anambinu sahihi za kimchezo.
Ubora wa kocha unatokana na kuropoka?Zahera Ndiye kocha bora kabisa katika ligi ya Bongo. Zahera hapepesi maneno anazungumza kweli, Ukweli wake ndio ulioifanya Yanga iwe inaongoza Ligi mbaka sasa. Uwezo wake unaonyesha kweli amefundisha Ulaya kwa maana anambinu sahihi za kimchezo.
Siungi mkono vitendo vya kishirikina ila timu zote Tz na Afrika kwa ujumla zinaamini ushirikina! Hii ni pamoja na Simba hii iliyofungwa khamsa Congo na kule Uarabuni! Imani za kishirikina ni tatizo katika soka letu tuungane kuzipiga vita!Zipi? Za kukwepa mageti?umewah ona wapi team ya ulaya inakwepa njia sahihi? Au ulaya ya huko kwenu? Acha kutufanya yanga tuwe mafala. Mechi ya leo tu unaona tulivyokuwa tunatuma watu wanahangaika goli la lipuli...