Zahera anaiharibu team kwa Kuabudu Ushirikina

mbu mbu mbu bana, wana Yanga tumetulia lakini Simba A.K.A kubebwa fc wanatapa tapa tu. Makombe tumewaachia hatuyataki chukueni tuacheni tujenge timu
Makombe hamyataki ndo mroge kiasi mile??Mara ngapi mnapigwa faini kwa kukwepa mageti kwa kuamini ushirikina,ndo mjue mechi zenu mlizoshinda zote ni nguvu ya ushirikina Hakuna kitu mjipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…