Makombe hamyataki ndo mroge kiasi mile??Mara ngapi mnapigwa faini kwa kukwepa mageti kwa kuamini ushirikina,ndo mjue mechi zenu mlizoshinda zote ni nguvu ya ushirikina Hakuna kitu mjipangembu mbu mbu bana, wana Yanga tumetulia lakini Simba A.K.A kubebwa fc wanatapa tapa tu. Makombe tumewaachia hatuyataki chukueni tuacheni tujenge timu