Wasajili?! Hiyo hela wanayo sasa.Zahera kocha mkuu Yanga ametaja wengine waliovurunda mechi ya Simba, ukweli ni kuwa Yanga haina timu ya kusimama na Simba sasa hivi. ile sare ni bahati tu. Dirisha dogo wasajili wachezaji wenye viwango vya kimataifa wanaopata namba kwenye timu zao za taifa Kama Uganda na Zambia, nchi zilizoizidi kiwango Tanzania
Ebu msome Zahera anavyobwabaja
SALEH JEMBE
Ndio maana tunasema ile droo kwa Yanga ni ushindi mkubwa sanaSimba imewauma sana kubaniwa ushindi ile droo kwetu haijatuumiza sana tutaendelea kuwakojolea hapo chini yetu
Usikae mbele yetu utahisi kwa nyuma joto/Simba imewauma sana kubaniwa ushindi ile droo kwetu haijatuumiza sana tutaendelea kuwakojolea hapo chini yetu