Zahera ataja wengine, Dirisha dogo Novemba

Zahera ataja wengine, Dirisha dogo Novemba

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Zahera kocha mkuu Yanga ametaja wengine waliovurunda mechi ya Simba, ukweli ni kuwa Yanga haina timu ya kusimama na Simba sasa hivi. ile sare ni bahati tu. Dirisha dogo wasajili wachezaji wenye viwango vya kimataifa wanaopata namba kwenye timu zao za taifa Kama Uganda na Zambia, nchi zilizoizidi kiwango Tanzania

Ebu msome Zahera anavyobwabaja

SALEH JEMBE
 
Zahela amekosea kuwataja hadharani wachezaji waliocheza chini ya kiwango. Hayo ni mambo ya mazoezini
 
Zahera kocha mkuu Yanga ametaja wengine waliovurunda mechi ya Simba, ukweli ni kuwa Yanga haina timu ya kusimama na Simba sasa hivi. ile sare ni bahati tu. Dirisha dogo wasajili wachezaji wenye viwango vya kimataifa wanaopata namba kwenye timu zao za taifa Kama Uganda na Zambia, nchi zilizoizidi kiwango Tanzania

Ebu msome Zahera anavyobwabaja

SALEH JEMBE
Wasajili?! Hiyo hela wanayo sasa.
 
Simba imewauma sana kubaniwa ushindi ile droo kwetu haijatuumiza sana tutaendelea kuwakojolea hapo chini yetu
 
Ashukuru ushirikina Hana mbinu zaidi ya usanii tu

yanga wakimtimua Basi anzishe bendi ya mziki na mwanae kindo
 
Back
Top Bottom