SWALI 1: Umesema una mipango ya kuimarisha kikosi chako katika msimu ujayo ikiwemo kuongeza nyota kadhaa. . Je mipango yako itakamilika vipi wakati klabu haina pesa? na Je una njia mbadala yoyote ya kufanikisha hilo?
Mwinyi Zahera : Sio kweli kama klabu haina pesa, Yanga SC ni timu tajiri ila haina mfumo mzuri wa kuwaweka pamoja wanachama wake na wakaweza kuigharamia timu yao . . nimekuwa nikipita mahali watu wananipongeza kwa kazi nzuri wanaenda mbali zaidi wakielezea jinsi wanavoipenda timu yao na wapo tayari kuichangia! kwa hesabu za haraka Yanga ina mashabiki zaidi ya milioni 5 . . ukijenga utaratibu mzuri hao wanachama wakachangia 2500 tu kwa mwezi ni sawa na 12,500,000,000 . . utasemaje timu maskini?hiyo hela tutasajili wachezaji na kuwa na uwanja wetu. . na ili kuonesha tumedhamiria ndio maana tumefika hapa studio nikiwa na wachezaji 7, Cannavaro , Hafidh na katibu Omar Kaya! tunaanda Tangazo wiki ijayo litaanza kuruka hewani.
SWALI 2: Utaratibu unaokuja nao , ndio huo huo aliutumia Boniface Mkwasa na haukuleta matunda yaliyokusudiwa, je una mikakati gani kuhakikisha utaratibu huo unafikia malengo yaliyokusudiwa?
Mwinyi Zahera : Mashabiki inabidi wawe na imani na michango yao kuwa hela inayochangwa inawafikia wahusika na inaelekezwa katika matumizi mahsusi. . Tupo hatua za mwisho kufungua akaunti CRDB ambapo signatories ni Mimi Zahera, Ibrahim Ajib na Hafidh Saleh. . na ili kuhamasisha siku ya ufunguzi nitaingiza milioni moja! kila wiki tutakuwa tunatoa taarifa ya makusanyo na kipaumbele ni nini? itakuwa ni mchakato wa ukweli na uwazi pia na ubunifu! Nawaahidi Yanga yetu itasonga mbele na kufanya vizuri katika michuano mbalimbali inasikitisha sana eti tusubiri wadhamini waje walete pesa, hapana hii ni timu kubwa na ina mtaji tayari kupitia wapenzi wake walio wengi nchini.
JE WEWE UPO TAYARI KUTOA SHILINGI NGAPI?