Zahera":Hakuna kiungo kama Haruna moshi Tanzania,kanikumbusha kiungo wa zamani wa Ac Milan zvonimir Boban

Mimi ni shabiki wa Simba kwa miaka 30 sasa. Boban ni kiungo imara sana Tanzania. Yanga wamepiga bao kwa kweli ingawa atakuwa wa 40 minutes tuuu. Hongera watani kupata mzoefu Boban.
 
Acheni Haruna amalizie kandanda lake... pale jangwani kuna middle wa kawaida kwa uwezo wa Boban anacheza tena vzr tu.
 
Tz hatufanikiwi cos tunawazeesha wachezaji weti mapema sana,Kaseja ilitakiwa awe golini pale Simba na national team, Angalia wachezaji wa timu ya taifa ya uganda,yule goli keeper wao alicheza na kina pawasa,ally mayai,lakini bado anaaminika na ni senior kwenye timu na ndo maana wanafanikiwa,Sisi mchezaji asipokuwa Yanga au Simba basi hafai tena ni Mzee.

Bongo hatutafanikiwa cos hatujui kukaa na wachezaji
 
Mhuu Hapa YOUNG AFRICANS FOOTBALL CLUB "The Citizen Team" bado sijaelewa elewa vizuri hivi. Vipi wananchi wenzangu yaweza kuwa sahihi hii!?
Boban atakushangaza,kwa ligi yetu bado anacheza vzr tu,sema labda tabia ndo changamoto japo Zahera yupo vizuri kukaa na wachezaji
 
Yaani Vyura wanatapa tapa kama wakili anetetea mwizi hahahaaa kazi sana kuutetea huu usajili watu wakakuelewa. Ila jibu ni moja jamaa kaahidwa bili ya wali kwa mama ntilie ili maisha yaende hahaaaa😁😁😁😁😁😁
 
Boban tatizo dogo tu, jani kwa sana, labda awe ameacha mdogo wetu yule. Lakini kwa kiwango hakuna inji hii, ana viwango vya akina Hamis Thobias Gaga...
 
Nakubaliana na maneno haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…