Zahera kama hujui tabia za mashabiki wa Tanzania hasa Yanga na Simba utaondoka kwa aibu.Shauri ako!!

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Kocha Emogi alifukuzwa Simba ikiwa inaongoza ligi baada ya kupokea kipigo cha aibu kutoka kwa Green Worriers.Nimeona Zahera unataka kupita mlango ule ule aliopitia Emogi.Najua utajitetea kwamba ulipanga kikosi B. Zahera labda hujui,mashabiki TZ tunaamini kuwa ili mchezaji acheze Simba na Yanga lazima awe amewazidi wachezaji wote wa timu ndogo. Kufungwa kwa Yanga leo kumewaumiza mashabiki wa Yanga km ambavyo ingefungwa timu unayoiita Yanga "A". Natabiri ukiendelea na mzaha huu haumalizi miezi 2. Mbaya zaidi timu inacheza hovyo hovyo hovyoo kabsa haijawahi tokea. Sielewi mazoezini huwa unafundisha nn. Haya mi nimekuonya tu,Zahera shauri ako!!
 
kama simba inavofungwa na Kagera Sugar kila siku timu inayoshuka daraja , hakuna timu isiyofungwa wewe mbumbumbu msukule wa MO
 
Kwa kuongezea tu.....wewe Zahera chonde chonde hakikisha unashinda dhidi ya AFC Leopald na Township Rollers kinyume chake ...usije ukasema hatukutahadharisha...uvumilvu wetu una mwisho..!!
 
Mbona amechezesha timu kubwa
 
Kwa kuongezea tu.....wewe Zahera chonde chonde hakikisha unashinda dhidi ya AFC Leopald na Township Rollers kinyume chake ...usije ukasema hatukutahadharisha...uvumilvu wetu una mwisho..!!
Zahera anaweza hata kukupiga makofi na bado usimfanye kituu, yeye ndio mwenye timu.

Jichanganye SASA!
 
Zahera kitambo sana amekua akinipa shaka juu ya uwezo na maamuzi yake wakati fulani. Muda ni rafiki mzuri.
 
Nasikia Aussens alishangaa kukuta Wahindi Wabrazil kambini
 
Umenena mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…