Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Kocha Emogi alifukuzwa Simba ikiwa inaongoza ligi baada ya kupokea kipigo cha aibu kutoka kwa Green Worriers.Nimeona Zahera unataka kupita mlango ule ule aliopitia Emogi.Najua utajitetea kwamba ulipanga kikosi B. Zahera labda hujui,mashabiki TZ tunaamini kuwa ili mchezaji acheze Simba na Yanga lazima awe amewazidi wachezaji wote wa timu ndogo. Kufungwa kwa Yanga leo kumewaumiza mashabiki wa Yanga km ambavyo ingefungwa timu unayoiita Yanga "A". Natabiri ukiendelea na mzaha huu haumalizi miezi 2. Mbaya zaidi timu inacheza hovyo hovyo hovyoo kabsa haijawahi tokea. Sielewi mazoezini huwa unafundisha nn. Haya mi nimekuonya tu,Zahera shauri ako!!