Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni?
Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake?

Mabosi wake hapo Utopoloni wamemuogopa? Au kaacha kazi? Kuna kitu cha mashaka, huyu Mkongo inawezekana katumwa kufanya mind games na kuwazubaisha wachezaji wa Simba waone mchezo umeisha, wakati kiukweli Yanga ni timu bora Afrika, kubwa sana kuliko Simba.

Hata kwenye kikosi chao cha sasa hivi 11 wa kwanza, mchezaji pekee wa Simba anayeingia ni Inonga, tena anaanzia benchi.
 
Simba ilishavuka kote hukoo yani inaijua ndani nje hyo timu kwa sasa wako busy na mambo yao. Kwakweli Simba kwa sasa inanogaa
Natmani wachezaji hata wasisikilize anachosema bahati mbaya social media haikwepeki
 
Ukiona unauliza swali na kujijibu mwenyewe, wahi kituo cha afya kilichopo karibu na wewe.

Changamoto za akili zinatibika. Ujumbe huu umeletwa kwenu kwa hisani ya AL HILAL kwa kushirikiana na watu wa TUNISA.
 
Itakuwa amevalia li pensi lake kama kajinyea vileee 😆😆😆
 
Simba waache mipango yao waishi kwenye taarabu za zahera..? Hawa simba wameshatoka kwenye kuwekeza kwa machawa na mipasho wapo katika level ya kuwekeza zaidi kwenye mbinu na maarifa zaidi. Pole
 
Wampe nauli aende kwenye media za Tunnisia akaendeleze hii mbinu

Au tatizo lugha?
 
Naona mtoa maada utakuwa hujamsikiliza akizungumza mwenyewe kwenye kipingi cha sports xtra.

Kwanza unauliza kwamba bado ni Technical Director na kocha wa vijana wa Yanga wakati yeye mwenyewe kasema mkataba uliisha 30 sept.
 
Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni?
Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake?

Ma bosi wake hapo Utopoloni wamemuogopa? Au kaacha kazi? Kuna kitu cha mashaka, huyu Mkongo inawezekana katumwa kufanya mind games na kuwazubaisha wachezaji wa Simba waone mchezo umeisha, wakati kiukweli Yanga ni timu bora Afrika, kubwa sana kuliko Simba. Hata kwenye kikosi chao cha sasa hivi 11 wa kwanza, mchezaji pekee wa Simba anayeingia ni Inonga, tena anaanzia benchi.
Hakuna mchezaji wa Simba ambaye anaweza kaa Yanga hata Bench. Nakuambia hakuna. Yanga imekamilika walioko ndani na walio bench. Imemaliza kila kitu.
 
We jamaa timu kubwa zooootee zipo makundi caf na zile berkane na pyramids...hizo nyingine zoote ni tia maji tia maji tuu
 
Hakuna mchezaji wa Simba ambaye anaweza kaa Yanga hata Bench. Nakuambia hakuna. Yanga imekamilika walioko ndani na walio bench. Imemaliza kila kitu.

Yanga ipi? Ya akina mwamnyeto?. Aziz Ki na Lomalisa?. Yanga mchezaji wa kucheza Simba ni wawili tu, bangalaa na mayele basi. Wengine hata kubeba jezi za timu ya Simba hawawezi.
 
Yanga Tim kubwa Africa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23] Kweli Bangi mbaya sana. Hivi hujui tim kubwa ziko makundi Africa?

Nenda kwenye renk za caf Alafu watafute Utopolo kama utawaona kwenye top 20 Apo ndio ujue nyie ni mabingwa wa kihistoria wa Ngerengere.
 
Back
Top Bottom