Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

Zahera katumwa kuwatoa Simba mchezoni? Anaendelea na Media Tour!

Yanga Tim kubwa Africa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23] Kweli Bangi mbaya sana. Hivi hujui tim kubwa ziko makundi Africa?

Nenda kwenye renk za caf Alafu watafute Utopolo kama utawaona kwenye top 20 Apo ndio ujue nyie ni mabingwa wa kihistoria wa Ngerengere.
We hangaika,tunakugonga na ubingwa tunabeba,Kisha utabaki na rank za caf
 
Yanga ipi? Ya akina mwamnyeto?. Aziz Ki na Lomalisa?. Yanga mchezaji wa kucheza Simba ni wawili tu, bangalaa na mayele basi. Wengine hata kubeba jezi za timu ya Simba hawawezi.
Watakuwa wabeba con
 
Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni?
Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake?

Mabosi wake hapo Utopoloni wamemuogopa? Au kaacha kazi? Kuna kitu cha mashaka, huyu Mkongo inawezekana katumwa kufanya mind games na kuwazubaisha wachezaji wa Simba waone mchezo umeisha, wakati kiukweli Yanga ni timu bora Afrika, kubwa sana kuliko Simba.

Hata kwenye kikosi chao cha sasa hivi 11 wa kwanza, mchezaji pekee wa Simba anayeingia ni Inonga, tena anaanzia benchi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatumia akil zako kwel au yan moloko amuweke nje okrah kuwa serious
 
Back
Top Bottom