njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Natmani wachezaji hata wasisikilize anachosema bahati mbaya social media haikwepekiSimba ilishavuka kote hukoo yani inaijua ndani nje hyo timu kwa sasa wako busy na mambo yao. Kwakweli Simba kwa sasa inanogaa
si wanaongea french pia kuleWampe nauli aende kwenye media za Tunnisia akaendeleze hii mbinu
Au tatizo lugha?
imbecileUkiona unauliza swali na kujijibu mwenyewe, wahi kituo cha afya kilichopo karibu na wewe.. Changamoto za akili zinatibika. Ujumbe huu umeletwa kwenu kwa hisani ya AL HILAL kwa kushirikiana na watu wa TUNISA.
UGONJWA UMEKUKOLEA WAHI MATIBABU.imbecile
Hakuna mchezaji wa Simba ambaye anaweza kaa Yanga hata Bench. Nakuambia hakuna. Yanga imekamilika walioko ndani na walio bench. Imemaliza kila kitu.Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni?
Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake?
Ma bosi wake hapo Utopoloni wamemuogopa? Au kaacha kazi? Kuna kitu cha mashaka, huyu Mkongo inawezekana katumwa kufanya mind games na kuwazubaisha wachezaji wa Simba waone mchezo umeisha, wakati kiukweli Yanga ni timu bora Afrika, kubwa sana kuliko Simba. Hata kwenye kikosi chao cha sasa hivi 11 wa kwanza, mchezaji pekee wa Simba anayeingia ni Inonga, tena anaanzia benchi.
naunga mkono hoja hata kukaa jukwaani inabidi afikiriwe sanaHakuna mchezaji wa Simba ambaye anaweza kaa Yanga hata Bench. Nakuambia hakuna. Yanga imekamilika walioko ndani na walio bench. Imemaliza kila kitu.
Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni?
Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake?
Ma bosi wake hapo Utopoloni wamemuogopa? Au kaacha kazi? Kuna kitu cha mashaka, huyu Mkongo inawezekana katumwa kufanya mind games na kuwazubaisha wachezaji wa Simba waone mchezo umeisha, wakati kiukweli Yanga ni timu bora Afrika, kubwa sana kuliko Simba. Hata kwenye kikosi chao cha sasa hivi 11 wa kwanza, mchezaji pekee wa Simba anayeingia ni Inonga, tena anaanzia benchi.
Hakuna mchezaji wa Simba ambaye anaweza kaa Yanga hata Bench. Nakuambia hakuna. Yanga imekamilika walioko ndani na walio bench. Imemaliza kila kitu.
Kwa sbb Yanga sio level za wachezaji wa Simba wachezaji wa Simba ni level za Real MadridHakuna mchezaji wa Simba ambaye anaweza kaa Yanga hata Bench. Nakuambia hakuna. Yanga imekamilika walioko ndani na walio bench. Imemaliza kila kitu.
Jumapili mtamlaumu mzamiruSimba ilishavuka kote hukoo yani inaijua ndani nje hyo timu kwa sasa wako busy na mambo yao. Kwakweli Simba kwa sasa inanogaa