inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
We hangaika,tunakugonga na ubingwa tunabeba,Kisha utabaki na rank za cafYanga Tim kubwa Africa!!!! [emoji23][emoji23][emoji23] Kweli Bangi mbaya sana. Hivi hujui tim kubwa ziko makundi Africa?
Nenda kwenye renk za caf Alafu watafute Utopolo kama utawaona kwenye top 20 Apo ndio ujue nyie ni mabingwa wa kihistoria wa Ngerengere.
Kwangu Mimi Yanga mchezaji ni Makambo tuu. Akili ya mpira anayo. Walio salia ni miguvu tuuunaunga mkono hoja hata kukaa jukwaani inabidi afikiriwe sana
Amefanyaje mkuu au umemuona mahali?Jumapili mtamlaumu mzamiru
Watakuwa wabeba conYanga ipi? Ya akina mwamnyeto?. Aziz Ki na Lomalisa?. Yanga mchezaji wa kucheza Simba ni wawili tu, bangalaa na mayele basi. Wengine hata kubeba jezi za timu ya Simba hawawezi.
Mtafungwa mtamwangushia jumba bovu kumbe timu yenyewe tu ungaunga mwanaAmefanyaje mkuu au umemuona mahali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatumia akil zako kwel au yan moloko amuweke nje okrah kuwa seriousNaona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni?
Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake?
Mabosi wake hapo Utopoloni wamemuogopa? Au kaacha kazi? Kuna kitu cha mashaka, huyu Mkongo inawezekana katumwa kufanya mind games na kuwazubaisha wachezaji wa Simba waone mchezo umeisha, wakati kiukweli Yanga ni timu bora Afrika, kubwa sana kuliko Simba.
Hata kwenye kikosi chao cha sasa hivi 11 wa kwanza, mchezaji pekee wa Simba anayeingia ni Inonga, tena anaanzia benchi.
huamini? hata mwanyeto na job wanawaweka nje onyango na inonga, yanga inatisha mnooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatumia akil zako kwel au yan moloko amuweke nje okrah kuwa serious