Zahera: Kukataa kuafanya kazi na Charles Mkwasa kama msaidizi wangu ndiyo sababu ya kuondolewa Yanga

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ameibuka na kusema sababu ya kutimuliwa kwake ni kukataa kufanya kazi Charles Mkwasa.

Akizungumza na redio EFM asubuhi leo Zahera alisema viongozi wa Yanga na mwenyekiti walikuwa wamemuhakikishia kuendelea na jukumu hilo kabla ya uamuzi wake wa kukataa kufanya kazi na Mkwasa kama msaidizi wake.

“Kusema ukweli Mwenyekiti aliniambia hata tukifungwa Misri hiyo siyo tatizo nitaendelea kuwa kocha.”
Zahera alisema najua sababu ya kufukuzwa kwangu ni kukataa kufanya kazi na kocha Mkwasa kama msaidizi wangu.

“Nilikuwa nimefanya naye mazungumzo ya mambo yote kabla, lakini tatizo ni kukataa kufanya kazi na Mkwasa,” alisema Zahera.

Uongozi wa Yanga jana ulimtangaza Mkwassa kuwa kocha wa muda wa Yanga kuchukua jukumu la Zahera hadi watakapopata kocha wa kudumu.

Dk Msola alisema wameamua kufikia hatua ya kuvunja mkataba Zahera baada ya kukaa na kuzungumza na pia kuona Mkwasa anafaa kuishika timu hiyo kwa muda baada ya kuachana na kocha wao.

"Mkwasa ndio atakayekuwa na timu hii kwa muda wa takribani wiki mbili wakati huo tukiangalia kocha wa kudumu, pia Mkwasa hatoweza kukaa peke yake kwahiyo tutakaa naye na kujua atakuwa na nani," alisema.

Mkwassa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga alijiondoa katika nafasi hiyo kutokana na kusumbuliwa na maradhi.

Akizungumzia suala la afya ya Mkwasa, Msola alisema "Mpaka tumefikia hatua hii maana yake Afya yake ni nzuri, lakini sio jambo sahihi kulizungumzia hapa."

Mkwasa atakuwa akisaidiwa na winga wa zamani wa Yanga, Said Maulid ‘SMG’ aliyekuwa kocha wa timu ya vijana.
 
Kama mpenda mchukueni kwani kuna ubaya? Sisi tumeshaachana naye mbona mnahangaika sana?
 
Hata hivyo tumemvumilia sana huyu jamaa! Hatufai, hatufai, hatufai! Tumshukuru kwa mema machache aliyotufanyia!
 
Mlipeni pesa zake...madhulumati nyie.majizi na majambawazi makubwa.mtu amewafadhili leo hii mnamfanyia hivyo.kweli mfadhili mbuzi unaweza ukampika ukapata nyama na mchuzi binadamu utaambulia mashuzi tu. Mpeni pesa zake.na dante alipwe pesa zake pia.dada nlikuwa nakuheshimu sasa nmekuja gundua nawe mwizi ñmesikitika sana.

Mwisho wa siku kuondoka kuko pale pale.
 
Mlipeni pesa zake...madhulumati nyie.majizi na majambawazi makubwa.mtu amewafadhili leo hii mnamfanyia hivyo.kweli mfadhili mbuzi unaweza ukampika ukapata nyama na mchuzi binadamu utaambulia mashuzi tu. Mpeni pesa zake.na dante alipwe pesa zake pia.dada nlikuwa nakuheshimu sasa nmekuja gundua nawe mwizi ñmesikitika sana

Kama mpenda mchukueni kwani kuna ubaya? Sisi tumeshaachana naye mbona mnahangaika sana?
 
Mlipeni pesa zake...madhulumati nyie.majizi na majambawazi makubwa.mtu amewafadhili leo hii mnamfanyia hivyo.kweli mfadhili mbuzi unaweza ukampika ukapata nyama na mchuzi binadamu utaambulia mashuzi tu. Mpeni pesa zake.na dante alipwe pesa zake pia.dada nlikuwa nakuheshimu sasa nmekuja gundua nawe mwizi ñmesikitika sana

Kama mpenda mchukueni kwani kuna ubaya? Sisi tumeshaachana naye mbona mnahangaika sana?
 
Mlipeni pesa zake...madhulumati nyie.majizi na majambawazi makubwa.mtu amewafadhili leo hii mnamfanyia hivyo.kweli mfadhili mbuzi unaweza ukampika ukapata nyama na mchuzi binadamu utaambulia mashuzi tu. Mpeni pesa zake.na dante alipwe pesa zake pia.dada nlikuwa nakuheshimu sasa nmekuja gundua nawe mwizi ñmesikitika sana

Zahera ana matatizo sana, anaongea maneno ya shobo sana.
 
Mlipeni pesa zake...madhulumati nyie.majizi na majambawazi makubwa.mtu amewafadhili leo hii mnamfanyia hivyo.kweli mfadhili mbuzi unaweza ukampika ukapata nyama na mchuzi binadamu utaambulia mashuzi tu. Mpeni pesa zake.na dante alipwe pesa zake pia.dada nlikuwa nakuheshimu sasa nmekuja gundua nawe mwizi ñmesikitika sana
Je unaweza kutuambia anaidai Yanga kiasi gani?
Yeye ndo kasema anaidai yanga au wewe tu umesema?
 
Akili za ugoro shida sana
 
MAJIZI,MADHULUMATI,MAJAMBAWAZI,MATAPELI MAKUBWA NYIE.MPENI PESA ZAKE.MSITAKE KUMZIMA KAMA DANTE.HUYU ANAJITAMBUA HATOKUBALI KUDHULIMIWA...MNATAKA KUMZIKA PESA ZAKE KAMA MLIVYOFANYA KWA DANTE.MAJIZI MAKUBWA NYIE.VYURA, PILIPILI HOHO,MATIKITIK NA MAJIZI MAKUBWA.

😂 😂 😂 😂 😂
Huyu jamaa sijui kala maharage ya wapi anakurupuka kuja kumdaia Zahera
Bangi watu wakiambiwa inamadhara wanabisha,ona sasa alivyopanic na herufi zake kubwa
 
Mlipeni pesa zake...madhulumati nyie.majizi na majambawazi makubwa.mtu amewafadhili leo hii mnamfanyia hivyo.kweli mfadhili mbuzi unaweza ukampika ukapata nyama na mchuzi binadamu utaambulia mashuzi tu. Mpeni pesa zake.na dante alipwe pesa zake pia.dada nlikuwa nakuheshimu sasa nmekuja gundua nawe mwizi ñmesikitika sana.
Mkuu kwani una maslahi gani na Zahera?
 
Back
Top Bottom