Zahera Mwinyi awafanya TP Mazembe washukie Uwanja wa ndege wa Mbeya badala ya Dsm

Mwehu huyo mkuu... Yaani hata kufikiri tu kidogo anadhindwa eti mbeya iko karibu... Then match iko dar, huo si uwendawazimu.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right reserved.
 
Huyu kocha ni mwehu hajui nini aseme wapi na wakati gani juzi baada ya mechi na alliance alihojiwa akajibu upuuzi tu
 

Umesema umewahi kuongoza maswala ya mpira mpaka kufikia level ya kitaifa.

Kwenye bandiko unasisitiza swala la kufanya objective analysis.

That being said, naomba utupe mchanganuo wa safari hizi mbili in terms ya muda:-

1. Ndege: kutoka Lubumbashi => Kinshasa => Nairobi => Dar es Salaam.

2. Ndege: Lubumbashi => Mbeya, Luxury bus: Mbeya => Dar es Salaam.

Ukimaliza hayo maswali nitauliza maswali ya nyongeza.
 
Watanzania sijui tukoje hili nalo mumemuhusisha Zahera,TP Mazembe kutua Songwe!,du!

Sent from Nokia 7 Plus
 
Kwakuwa ushasema ushakuwa mpaka kiongozi wa soka ngazi ya kitaifa wacha nikuwache weye(in lufufu's voice) maana utakuwa nawe una mchango wako kidogo katika soka letu bovu na maendeleo duni ya mchezo huo hapa nchini..
We hapo umepiga mahesabu ya ruti za kibiashara, wakati wenzako wamekuja na ndege binafsi sijui unalielewa hilo kwanza, jua hilo kwanza ndio kisha ulete hesabu zako za find x wakat x naiona kwenye karatasi.

Heshima kiongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika usichojijua, TP Mazembe wamekuja na ndege yao so hakukuwa na sababu ya kushukia mbeya ambapo itawagharimu zaidi ya 800km kuitafuta Dar. Unataka kutuambia usafiri wa ndege mbeya tu dar unachosha zaidi ya bus!!?? Huna unalojua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika watasafirishwa kwa bus? Watu wamekùja na ndege yao alafu wasafiri kwa bus kutoka Mbeya-Dar inaingia akilini hiyo?

Mbumbumbu hamtobadilika kamwe
Weka ushabiki maandazi pemebeni kisha tuonge kwa hoja.. Mleta mada kasema wameshukia mbeya kukwepa juju za simba uwanja wa ndege wa dar sasa, wakija na ndege yao dar watakuwa wamekikwepa nini, labda kama mbeya wameahuka kutalii kidogo hapo sawa, km wanakwepa juju kwa imani zetu huku bara jeusi lazima wasafiri kwa basi.. Jifunze kuelewa kwanza mkuu kabla ya kukimbilia kukosoa na kauli zako mbovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa...niliweka hizo route kwa maana kuwa pengine


Sawa ...hizo route ni za commercial flights...sasa baadhi 'walitaka' watue Dar na siyo Mbeya..hawajui kuwa mbeya na lubumbashi ni karibu ukiwa na ndege maalum
Unachekesha sana, hivi unaujua usafiri wa ndege au unazungumzia daladala!? Habari za ukaribu wa Mbeya na Lubumbashi bado hazina mashiko kwakuwa mechi inachezewa Dar, kuna haja gani ya kushukia Mbeya eti kisa ni karibu na Lubumbashi then wachukue Bus mpaka Dar!!?? Hiyo ndege ina maana gani sasa!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mnazozana bure tu JKNIA haikuwa na ratiba ya kupokea ndege kutoka Congo leo.
 
Sawa...niliweka hizo route kwa maana kuwa pengine


Sawa ...hizo route ni za commercial flights...sasa baadhi 'walitaka' watue Dar na siyo Mbeya..hawajui kuwa mbeya na lubumbashi ni karibu ukiwa na ndege maalum
Hahah. Wew jamaa hujielewi kabisa. Sasa lubumbashi-Dar ndio mbali kutumia ndege bunafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo unachisema ukuwa na ndege binafsi mbeya karibu kuliko dar. Ila ndege ya kawaida mbeya mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…