mtashinda 2-1 au 1-0 baada ya kupuliza madawa mengiiii... mkienda ugenini mnafungwa 5-0...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtashinda 2-1 au 1-0 baada ya kupuliza madawa mengiiii... mkienda ugenini mnafungwa 5-0...
Huyu Zahera naye awe anajiuliza, katika makocha wote waliopo TPL kwa nini yeye ndio awe anahusiswa na vitu vya namna hii? Makocha wangapi wamepita Jangwani bila issue kama hizi? Ajitafakari
Dah...tatizo lililopo ni kuwa kwa maelezo yako ni dhahiri haujawahi kuongoza chochote kwenye sekta ya michezo na hasa soka...mimi nimeongoza mpira mpaka kwenye ngazi ya kitaifa...hapo ndipo lilipo tatizo...Inaelekea hujui masuala ya gharama katika kusafirisha timu na pia inaelekea hujui katika masuala ya saikolojia ya michezo...hujui wachezaji wanachokaje kimwili wanaposafiri umbali mrefu kwa ndege...kutoka Lubumbashi kwenda kinshasa halafu Nairobi halafu Dar es Salaam...na route ya Lubumbashi (pengine kwa ndege maalum hadi Mbeya) na kuchukua basi (au hata ndege ) hadi dar es salaam...Acha analysis za kishabiki...jikite kwenye objective analysis.....Na kwa nyongeza tu inaelekea hujui route ya Lubumbashi -Kinashasa-Nairobi-Dar es Salaam unatumia saa ngapi kwa ndege---yaani hujui unakaa saa ngapi pale kinshasa kupata connection ya Nairobi..na halafu hujui pale Nairobi Airport utakaa muda gani kusubiri connection ya Dar es Salaam..na kama kwa route hiyo na kwa kuzingatia connections hizo utaweza kuwahi kufika Dar kwa wakati na kufanya mazoezi na kuzoea hali ya hewa ya Dar...Lakini pengine hufahamu kuwa Lubumbashi hadi Mbeya ni muda mfupi kabisa na gharama nafuu ukiwa na ndege maalum...yaaani unafika Mbeya na kuchukua luxury basi hadi dar es salaam..basi la watu 55 wanapanda watu 30 tu na kujinafasi ndani ya basi hadi Dar es slaam...hakuna uchovu hapo ...These are just assumptions..sina hakika kama wamechukua basi kutoka Mbeya to Dar...
Kijiushahidi basi mkuuJamaa aendelea kuwapotosha wachezaji wa team zinazokuja kucheza na simba.baada ya kuwadanganya Yanga wapitie mlango usio Rasmi wakapigwa Moja na Simba kwa Kagere kuingiza kichwa.
Akaja akashauri azam pia jambo hilo hilo wakapigwa tatu, akawashauri AS Vita wakapigwa Mbili moja...safari hii kawaambia TP Mazembe kuwa uchawi wa simba upo uwanja wa ndege wa DSM hivyo wasishukie hapo wakashukie Mbeya.😂😂😂
Jamaa wameenda kushuka uwanja wa Kimataifa wa Songwe ili kukwepa uchawi wa Simba pale uwanja wa ndege wa Dsm.
Yanga kwa kweli safari hii mmepata kocha mwenye vipaji vingi, ni mganga,mtabiri,msemaji wa team,mfadhilo,coach,manager na daktar wa team pia. Heko
Kijiushahidi basi mkuu