Zahera Mwinyi awafanya TP Mazembe washukie Uwanja wa ndege wa Mbeya badala ya Dsm

Washuke kagera, washuke mwanza, washuke Kilimanjro, washuke mtwala, washuke kigoma... Kipigo kipo pale pale!!

wakati ukuta.
 
Zahera ni mdaku kama wadaku wengne
Huyu Zahera naye awe anajiuliza, katika makocha wote waliopo TPL kwa nini yeye ndio awe anahusiswa na vitu vya namna hii? Makocha wangapi wamepita Jangwani bila issue kama hizi? Ajitafakari

wakati ukuta.
 
Kama wewe umeongoza sekta ya michezo basi ulikuwa kilaza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiushahidi basi mkuu
 
Kwani tatizo liko wap?kama walitua SIA,Wakala bata mbeya then wakatua Dar kujiandaa na mechi!tatizo nn?au shida ni jina Mbey@
 
Hizi imani za kijinga ndio maana mpira wa Tanzania umebaki tu humu mitandaoni na kwenye vyombo vya habari, tuko kama England tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…