Zahera Mwinyi , Mayaula Mayoni alifirisiwa hadi nauli na mashangingi wa Magomeni , nenda kwenu kabla hujaanza kuomba nauli

Zahera Mwinyi , Mayaula Mayoni alifirisiwa hadi nauli na mashangingi wa Magomeni , nenda kwenu kabla hujaanza kuomba nauli

Huu ni ushauri tu ninaokupa ndugu yangu , nafahamu ulivyochanganyikiwa na kutimuliwa Yanga kwa kutupiwa mfuko wako wa Rambo , hata mimi nakuhurumia , lakini jiangalie usije kushangaa mjini hadi uanze kutuomba nauli ya kurudi kwenu .

Mizunguko uliyoifanya kwenye vyombo vya habari inatosha sasa .
View attachment 1258846
Lakini bora kasema ukweli tumewajua baadhi ya viongozi mangimeza
 
Back
Top Bottom