Zahera na AS Vita ndani ya nchi hii?

Eti analipwa mshahara na watanzania!! We umemlipa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na Haji Manara wote hamna akili, Simba siyo timu ya Taifa, Simba unawakilisha msimbazi, mimi binafsi nitakwenda uwanjani kuwashangilia AS Vita baada ya kuwapiga full dozi usiku tutakuwa ngwasuma kuyakata mayenu.

Ukitafuta mashabiki machizi nchi hii basi ni mashabiki wa Simba, kuamini kwamba Simba ina uwezo wa kuifunga Vita ni matumizi mabovu ya akili na kumjaribu Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi unavyura wengi mpaka unamtishia Simba kunywa maji ila nawaomben tuongeee kisoka kesho baada ya 90' Mwenyez Mungu akitujaalia uzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasimba si wote mambumbumbu ila kwa sampuli za akina manara nafedheheka kuongozwa na mbumbumbu.
 
Zahera yupo Congo,ni kocha msaidizi wa team ya taifa ya Congo. Congo DRC wanacheza na Liberia Alhamisi ijayo. Manara mpumbavu tu,badala ya kufocus kwa team ya Simba yupo busy na whereabouts za Zahera. What for?
I love you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…