Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 879
- 652
Ila kiukweli, ni nini hasa anachowasaidia vita na watafaidika nacho zaidi ya hasira tu za wanasimba kocha wa yanga yuko na vita.Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.
Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?
Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?
Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.
Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba haiwakilishi nchi. Inajiwakilisha yenyewe. Hiyo sio Taifa Stars. Ndiyo maana mnasema this is Simba.
Zahera halipwi na Watanzania. Analipwa na Yanga, hasimu wa Simba. Mtu pekee anayelipwa na Watanzania ni Emmanuel Amunike.
Awe Congo au ajifiche na Vita, it's non of Simba business.
Nadhani mchecheto umewaingia mikia.
Okwi mmempa hela zake?
wana yanga tupo nyuma ya kocha wetu zahera... simba wanaanzia wapi kuwakilisha nchi..
simba na yanga ni wapinzani wa jadi .. hata siku moja mwana yanga hawezi muombea simba ushindi... zaidi ya unafiki tu..
na ninataka mfungwe 5
Tumia akili zako sio za Haji.wewe jamaa timamu kweli kichwani!?
Tumia akili zako sio za Haji.
Mnataka kuingilia hadi kazi ya Zahera. Pathetic.
Manara anadeka sanaManara ni mbumbu na ana mchecheto, Atakamama Zahera atawapa mbinu Vita mwisho wasiku wanaocheza ni wachezaji sio Makocha. Kama mpira utachezwa bila mizengwe wakufungwa anajulikana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitudanganye wewe, wimbo wa taiga uimbwa only timu ya taifa inapokuwa inacheza, siyo vilabu.
Wimbo wa taifa upigwe kwa misingi gani au ni lini ulisikia ukipigwa?
#Simba for Simba
#Yanga for Yanga
#Taifa Stars for Tanzania
Pumbavu....kwendraaa ukooooo nyie Underdog[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.
Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?
Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?
Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.
Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga sio mpinzani wa jadi wa Simba mimi nakataa hilo...wana yanga tupo nyuma ya kocha wetu zahera... simba wanaanzia wapi kuwakilisha nchi..
simba na yanga ni wapinzani wa jadi .. hata siku moja mwana yanga hawezi muombea simba ushindi... zaidi ya unafiki tu..
na ninataka mfungwe 5
Huyu Haji nadhani hali yake inaathiri kufikiria vizuri(sorry kwa hilo) kelele anazopiga ni upuuzi mtu badala ya kudeal na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani anamtengenezea Zahera enemity kwa mashabiki wa Simba.Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.
Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?
Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?
Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.
Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yenu nyie mnasahau yenu,mikia buanaYanga sio mpinzani wa jadi wa Simba mimi nakataa hilo...
Sema yanga ADUI mkubwa... Tena ADUI namba moja wa Simba...
Mwisho wa Ubaya Aibu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga sana hili jamaaAliyewaita simba sc "Mbumbumbu fc" atakuwa aliwaza mbali sana. Ni aibu kwa klabu kubwa kama simba kuwa na msemaji aina ya Haji Manara! Huyu alistahili kuwa mhamasishaji wa mashabiki.
Hawezi kula mshahara Bongo alafu alete janja janja mjini...Tutaleta heshima kwa nchi, piga AS Vita na Zahera wao ...Simba wenzangu MNAFELI.
Zahera mwenyewe na timu Yake tumemfunga.Ana nini?
MWACHENI AHANGAIKE.
Sent using Jamii Forums mobile app