Zahera na AS Vita ndani ya nchi hii?

Zahera na AS Vita ndani ya nchi hii?

Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.

Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?

Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?

Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.

Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kiukweli, ni nini hasa anachowasaidia vita na watafaidika nacho zaidi ya hasira tu za wanasimba kocha wa yanga yuko na vita.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
wewe jamaa timamu kweli kichwani!?
Simba haiwakilishi nchi. Inajiwakilisha yenyewe. Hiyo sio Taifa Stars. Ndiyo maana mnasema this is Simba.

Zahera halipwi na Watanzania. Analipwa na Yanga, hasimu wa Simba. Mtu pekee anayelipwa na Watanzania ni Emmanuel Amunike.

Awe Congo au ajifiche na Vita, it's non of Simba business.

Nadhani mchecheto umewaingia mikia.

Okwi mmempa hela zake?
 
Amen
wana yanga tupo nyuma ya kocha wetu zahera... simba wanaanzia wapi kuwakilisha nchi..

simba na yanga ni wapinzani wa jadi .. hata siku moja mwana yanga hawezi muombea simba ushindi... zaidi ya unafiki tu..

na ninataka mfungwe 5
 
Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.

Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?

Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?

Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.

Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu....kwendraaa ukooooo nyie Underdog[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maana hiyo ndio kusema Diplomats wa Congo na wana Congo waishio Tanzania wasiende kuishangilia timu yao kisa wanaishi katika ardhi ya Tanzania?!

Mtazamo wa hovyo sana huu!
 
wana yanga tupo nyuma ya kocha wetu zahera... simba wanaanzia wapi kuwakilisha nchi..

simba na yanga ni wapinzani wa jadi .. hata siku moja mwana yanga hawezi muombea simba ushindi... zaidi ya unafiki tu..

na ninataka mfungwe 5
Yanga sio mpinzani wa jadi wa Simba mimi nakataa hilo...

Sema yanga ADUI mkubwa... Tena ADUI namba moja wa Simba...

Mwisho wa Ubaya Aibu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona Haji akiongea kimafumbo juu ya huyu kocha kuwa alidanganya kwenda Kongo lakini kumbe yupo na AS Vita hapa nchini.

Kama yanayosemwa ni sahihi basi huyu kocha aliyejijengea heshima kubwa anatuchukulia poa sana Watanzania. Amekuwa akitoa lugha za kejeli kwa wachezaji wa Tanzania bila staha akaachwa, sasa anataka kuhujumu Simba ambayo inawakilisha nchi tena waziwazi si kutuona wadwazi?

Kama taarifa hizi ni kweli huyu kocha atakuwa amepitiliza sasa. Amekosa namna ya kuwasaidia hao AS Vita huku akiheshimu kuwa analipwa mshahara na Watanzania?

Ni vizuri akakanusha taarifa hizi kama si kweli ili zisimchafulie sifa nzuri aliyojijengea hasa namna alivyoijenga Yanga nyakati hizi ngumu kiuchumi kwao.

Kila lakheri chama kubwa Simba, mnawakilisha nchi, lindeni heshima ya taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Haji nadhani hali yake inaathiri kufikiria vizuri(sorry kwa hilo) kelele anazopiga ni upuuzi mtu badala ya kudeal na kuhamasisha mashabiki kwenda uwanjani anamtengenezea Zahera enemity kwa mashabiki wa Simba.

Simba ilikula 5,Zahera alikuwa Shinyanga kucheza na stand

Simba ilikula 5 ,Zahera alikuwa Tanga

Then,Haji anasahau kuwa Zahera ni Mcongo na Ibenge ni boss wake kwenye national team ya Congo na amekuwa naye kwa muda kila anapokwenda hata Ibenge alipokuwa kocha china alimchukua Zahera.

Kambi ya Yanga tulipoenda kucheza na Usm algers Saimon Msuva alitembelea kambi kuwapa hi waTz wenzake kuna ubaya gani Zahera kwenda kuonana na Ibenge na wachezaji ambao atakuwa nao national team,yaani aogope kisa kuonekana atampa siri hizo+255 mlizokula yeye ndo kachangia.

Zahera anaweza kwenda kesho uwanja wa taifa halafu,Simba wakapoteza game halafu mashabiki wakareact na kumdhuru Zahera kwa sumu hizi za Hajji maana wengi ni mbumbumbu according to Ragge,nini kitatokea na mashabiki wa Yanga wakiamua kumtetea kocha wao? Huyu Hajji Usilazimishe game ya Simba kuifanya kama ni national team,pambaneni na mambo yenu wenyewe.

Na siku moja kauli na maandishi ya hili jinga yatamponza,eti anataka naye kugombea ubunge,duuh.......

Msilazimishe kama hamna uwezo msipandikize chuki
 
Back
Top Bottom