Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Na Manara ni Zeruzeru,full stop.Kwani mlitakaje ?aseme Zahera ni mTz...!uhalisia ni kuwa Zahera ni mkongo,na hivyo ndivyo alivyosema..!msubiri kipigo cha mbwa koko this time!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Manara ni Zeruzeru,full stop.Kwani mlitakaje ?aseme Zahera ni mTz...!uhalisia ni kuwa Zahera ni mkongo,na hivyo ndivyo alivyosema..!msubiri kipigo cha mbwa koko this time!
Huyo ana walakini.Mwisho wa kunukuu msemaji mwenye IQ ndogo wa simba amesema hivi mbele ya kituo cha Radio.
Wadau wa michezo naombeni mchambue na mdadavue hii kauli ya msemaji wa simba.
Uwanja wenu
Kati ya wasemaji wa ovyo kuwahi kutokea ni Haji Manara! Staili anayoitumia ya 'kubwabwaja' haina tija yoyote! Sababu tu amezaliwa katika familia ya soka ndio anajiona mjuaji kuliko wenzie
Wewe nawe sawa na Zahera tu.Nenda efm wakupe audio