Kwa mara ya kwanza nimekupa like wewe boyayanga wachezaji wengi wageni, na yanga hawajafungwa hata mechi moja ya mashindano, hiyo ni mechi ya kirafiki haina maana yoyote
Muda wa miaka mingapi?Tumpe muda kwani asilimia kubwa ya wachezaji ni wageni na kuwaunganisha si jambo rahisi.
Nionavyo nusu msimu tu.Muda wa miaka mingapi?
yanga wachezaji wengi wageni, na yanga hawajafungwa hata mechi moja ya mashindano, hiyo ni mechi ya kirafiki haina maana yoyote
Duh... Huyu si tangu mwaka jana anawafundisha vyura kula matikiti? Haya mwongezeeni tena nusu msimu labda vyura wataweza kula mananasiNionavyo nusu msimu tu.
Yupo toka mwaka jana sawa. Ila nimesema hivyo sababu ya kikosi kilichopo sasa ambacho kwa asilimia kubwa ni wachezaji ni wapya bana Babu.Duh... Huyu si tangu mwaka jana anawafundisha vyura kula matikiti? Haya mwongezeeni tena nusu msimu labda vyura wataweza kula mananasi
Muda wa miaka mingapi?
Zahera ni kocha, msemaji, mfadhili, m/kiti, mlezi, mwenye timu, tumpe muda wa Miaka 10 timu ya wananchi itatisha Sana baada ya hiyo Miaka 10Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv polisi walikuwa uwanja wa taifa au wanayanga huyu jamaa kiburi kimezidi anaifanya yanga kama timu yake kila siku eti anajenga physic ya wachezaji hakuna hata Timu kubwa ambayo umepata matokeo zaidi ya penati wanayanga tunataka matokeo hatutaki maneno
Ni timu ipi isiyo na wachezaji wapya?Yupo toka mwaka jana sawa. Ila nimesema hivyo sababu ya kikosi kilichopo sasa ambacho kwa asilimia kubwa ni wachezaji ni wapya bana Babu.
CC ShadeeyaZahera ni kocha, msemaji, mfadhili, m/kiti, mlezi, mwenye timu, tumpe muda wa Miaka 10 timu ya wananchi itatisha Sana baada ya hiyo Miaka 10
Sisi wananchi tumeridhika na kazi anayoifanya kuijenga yanga na timu ya wananchi,
Zahera hoyeeeeeeee
Zote zinao ila si kwa wingi wa walionao Yanga.Ni timu ipi isiyo na wachezaji wapya?
Hao wapya wako wangapi vile?Zote zinao ila si kwa wingi wa walionao Yanga.
Unanichosha bana babu. Google tu. 🚶♂️🚶♂️Hao wapya wako wangapi vile?
Na sisi baba zako wapya wako wangapi?
ila si vibaya kujipa moyo...