Zahera siku zako zinahesabika

Zahera siku zako zinahesabika

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv polisi walikuwa uwanja wa taifa au wanayanga huyu jamaa kiburi kimezidi anaifanya yanga kama timu yake kila siku eti anajenga physic ya wachezaji hakuna hata Timu kubwa ambayo umepata matokeo zaidi ya penati wanayanga tunataka matokeo hatutaki maneno
 
Duh... Huyu si tangu mwaka jana anawafundisha vyura kula matikiti? Haya mwongezeeni tena nusu msimu labda vyura wataweza kula mananasi
Yupo toka mwaka jana sawa. Ila nimesema hivyo sababu ya kikosi kilichopo sasa ambacho kwa asilimia kubwa ni wachezaji ni wapya bana Babu.
 
Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv polisi walikuwa uwanja wa taifa au wanayanga huyu jamaa kiburi kimezidi anaifanya yanga kama timu yake kila siku eti anajenga physic ya wachezaji hakuna hata Timu kubwa ambayo umepata matokeo zaidi ya penati wanayanga tunataka matokeo hatutaki maneno
Zahera ni kocha, msemaji, mfadhili, m/kiti, mlezi, mwenye timu, tumpe muda wa Miaka 10 timu ya wananchi itatisha Sana baada ya hiyo Miaka 10

Sisi wananchi tumeridhika na kazi anayoifanya kuijenga yanga na timu ya wananchi,

Zahera hoyeeeeeeee
 
Mwinyi Zahera kuna wakati anazingua. Mimi kwa upande wangu nilishapoteza imani naye tangu sakata la Benno Kakolanya lilipotokea.
 
Makocha wenzake waliwasili Kitambo yeye alikuwa amejipa likizo yake tu anakula bata Haya ndo matokeo yake
 
Back
Top Bottom