Zahera siku zako zinahesabika

Limbwata la kikongo limeanza kupungua nguvu.Walugaluga akili zimeanza kufanya kazi.
Limbwata ya kingongo imewalevya hadi timu ya Township nyumbani kwao. Dah hii limbwata ya kikongo washabiki wa Yanga wameiridhia kwa moyo mmoja. Tunaomba ikolezwe zaidi
 
Comments ziwe fupi fupi..Mikia mna tabu mwaka huu...2010 Hadi 2019 mafanikio ya mikia yaliletwa na Okwi..Sasa maisha bila ya Okwi yananogaje
 
Enheeee.... Dr.Msola ameshinda sasa vipi tuendelee naye au tumfyekeeeleeee mbali. Piga moyo konde ukisema Mungu nisaidie nna roho ya kishirikina
 
Niseme ukweli kabisa huyu jamaa nilikuwa nma respect sana ila sasa kanichosha kabisa hata kama ni kesho aondoke tu, huwezi kusema uwanja mbovu wakati gor wanacheza vizuri tu
Wewe ndio wakuondoka tumecheza na Gor lini mechi ya kirafiki. Mbumbumbu daima Hana kumbukumbu
 
Enheeee.... Dr.Msola ameshinda sasa vipi tuendelee naye au tumfyekeeeleeee mbali. Piga moyo konde ukisema Mungu nisaidie nna roho ya kishirikina

Boo! Mimi bado naunga mkono hoja ya Mwinyi Zahera kufyekelewa mbali. Hata kama tumefuzu hatua inayofuata. Bado hajanishawishi kwa kitendo chake cha kumuuza Makambo bila sababu za msingi, kumfanyia figisu Benno Kakolanya ili Kindoki awe golikipa namba moja, nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…