Zahera siku zako zinahesabika

Zahera siku zako zinahesabika

Limbwata la kikongo limeanza kupungua nguvu.Walugaluga akili zimeanza kufanya kazi.
Limbwata ya kingongo imewalevya hadi timu ya Township nyumbani kwao. Dah hii limbwata ya kikongo washabiki wa Yanga wameiridhia kwa moyo mmoja. Tunaomba ikolezwe zaidi
 
Comments ziwe fupi fupi..Mikia mna tabu mwaka huu...2010 Hadi 2019 mafanikio ya mikia yaliletwa na Okwi..Sasa maisha bila ya Okwi yananogaje
 
Huyu jamaa ni kocha wa kulalamika! Wachezaji waliosajiliwa karibia wote amewapendekeza mwenyewe, lakini bado analalamika hawamfai!

Amechelewa kujiunga na kambi kwa sababu zake binafsi, leo viongozi wameona wamsaidie kutafuta mechi sahihi za kirafiki ili kutengeneza chemistry nzuri ya timu, bado anatoka hadharani anawalaumu viongozi kwa maamuzi hayo!

Ningekua mimi ndiye Dr. Mshindo Msolla, ningempa mechi moja tu ya marudiano na Township Rollers! Angeshindwa tu kuwafunga, ningepata kisingizio cha kumfyekelea mbali.
Enheeee.... Dr.Msola ameshinda sasa vipi tuendelee naye au tumfyekeeeleeee mbali. Piga moyo konde ukisema Mungu nisaidie nna roho ya kishirikina
 
Niseme ukweli kabisa huyu jamaa nilikuwa nma respect sana ila sasa kanichosha kabisa hata kama ni kesho aondoke tu, huwezi kusema uwanja mbovu wakati gor wanacheza vizuri tu
Wewe ndio wakuondoka tumecheza na Gor lini mechi ya kirafiki. Mbumbumbu daima Hana kumbukumbu
 
Enheeee.... Dr.Msola ameshinda sasa vipi tuendelee naye au tumfyekeeeleeee mbali. Piga moyo konde ukisema Mungu nisaidie nna roho ya kishirikina

Boo! Mimi bado naunga mkono hoja ya Mwinyi Zahera kufyekelewa mbali. Hata kama tumefuzu hatua inayofuata. Bado hajanishawishi kwa kitendo chake cha kumuuza Makambo bila sababu za msingi, kumfanyia figisu Benno Kakolanya ili Kindoki awe golikipa namba moja, nk.
 
Back
Top Bottom