magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Mbumbumbu zinaamini ni wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu zinaamini ni wao.
Kwa akili hizi ndio maana Manara anawechezea tu anavyotaka.Utajiri wa MO ni utajiri wa Simba ndio maana amewekeza 49% simba ili simba iwe iendelee na yeye apate mrejesho, nyie endeleeni kuombaomba ndio mtaji wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utaumiza kichwa hapo. Jamaa amejiandaa kutoelewa.$ 14b ni budget ya 2018/2019
$ 4b ni thamani ya Barca as of June 2018.
Angalia hizo attachment hapo chini:-
View attachment 1037984
View attachment 1037985
Nadhani point sio tajiri ana utajiri kiasi gani ila amewekeza kiasi gani kwenye timu.Kwanza tuanze kudadisi Timu anayochezea makusu tajiri wao anautajiri wa bei gani? Na timu ya simba ambayo tajiri ni mo anautajiri wa kiasi gani?
Sent using unknown device