N nzagambadume JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 2,430 Reaction score 5,779 Mar 6, 2019 #1 eti ulisema simba inahonga wapinzani wewe wawakamie?hata kama ni kweli hiyo ni rushwa kweli? angalia hii hapa
eti ulisema simba inahonga wapinzani wewe wawakamie?hata kama ni kweli hiyo ni rushwa kweli? angalia hii hapa
T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Mar 6, 2019 #2 Huyu mlugaluga amefunga mdomo. Anaharisha kwa sababu ya uongozi mbovu wa TFF. Lakini ni vizuri amepuuzwa.
Huyu mlugaluga amefunga mdomo. Anaharisha kwa sababu ya uongozi mbovu wa TFF. Lakini ni vizuri amepuuzwa.