zahera umeiona hii ya barcelona na mchezaji wa ajaz

zahera umeiona hii ya barcelona na mchezaji wa ajaz

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
eti ulisema simba inahonga wapinzani wewe wawakamie?hata kama ni kweli hiyo ni rushwa kweli?
angalia hii hapa
zahera.PNG
 
Huyu mlugaluga amefunga mdomo. Anaharisha kwa sababu ya uongozi mbovu wa TFF.
Lakini ni vizuri amepuuzwa.
 
Back
Top Bottom