GE2025 Zahor Matelephone atia nia Ubunge Jimbo la Ole, Pemba

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mfanyabiashara maarufu, Zahor Matelephone amejitosa katika mbio za ubunge baada ya kuchukua fomu katika Jimbo la Ole, Pemba.

Zahor ni miongoni mwa viongozi wanaoibuka kwa kasi na kuamsha matumaini ya wananchi wa Jimbo la Ole, akiwa na maono makubwa, aliyekulia katika misingi ya uadilifu, utu na mapenzi ya dhati.
1751376737896.png
 
Bahati yake
 
Back
Top Bottom