Achana na hiyo kimeo itakuletea matatizo mbeleni. Gari zingine za moto. Agiza gari mwenyewe ije kwa jina lakoWadau naomba Darsa nahitaji kununua gari japo SWIFT anagalau niepeukane na daladala za MBAGALA jamaa anadai yeye aliponunua hakubadilisha jina so nichukue tu hivyo hivyo haina shida
Wadau naomba Darsa nahitaji kununua gari japo SWIFT anagalau niepeukane na daladala za MBAGALA jamaa anadai yeye aliponunua hakubadilisha jina so nichukue tu hivyo hivyo haina shida