Zaidi ya 50% ya magari tunayonunua kwa watu/mkononi ni ya wizi/ umiliki wa mashaka

Zaidi ya 50% ya magari tunayonunua kwa watu/mkononi ni ya wizi/ umiliki wa mashaka

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
zaid ya 50% ya magari tunayonunua mikononi mwa watu (yaliyotumika Tanzania) ni ama ya wizi ambapo umiliki/Title holder sie anaekuuzia hata ukienda TRA hamna details za mmiliki wa sasa. Ewe Mnunuzi chukua Tahadhari na hao MATAPELI siku POLISI wakikushukia SEGEREA inakuhusu.
 
madalali wengi wa Dar ni MAGUMASHI unakuta wameshakwapua gari ukijidai kudai mkataba sijui nin wanakuzingua mwanzo-mwisho so inabidi uwe mpole tu
 
Umepigwa wewe kwa ushamba wako watu kila siku wanauza magari wananunua magari mbona hatuambiwi ni ya wizi??Tatizo lenu mnapenda magari ya bei kubwa kwa bei ya chini hapo lazima upigwe tu!
 
Wadau naomba Darsa nahitaji kununua gari japo SWIFT anagalau niepeukane na daladala za MBAGALA jamaa anadai yeye aliponunua hakubadilisha jina so nichukue tu hivyo hivyo haina shida
 
Wadau naomba Darsa nahitaji kununua gari japo SWIFT anagalau niepeukane na daladala za MBAGALA jamaa anadai yeye aliponunua hakubadilisha jina so nichukue tu hivyo hivyo haina shida
Achana na hiyo kimeo itakuletea matatizo mbeleni. Gari zingine za moto. Agiza gari mwenyewe ije kwa jina lako
 
Wadau naomba Darsa nahitaji kununua gari japo SWIFT anagalau niepeukane na daladala za MBAGALA jamaa anadai yeye aliponunua hakubadilisha jina so nichukue tu hivyo hivyo haina shida

mkuu nitajie namba za gari pm nitakutajia wamiliki wote tangu gari liingie nchini utafuatilia mwenyewe kujua kama ni la wizi au vp
 
usikubali kununua gari lisilo kuwa na document halali.....blue card original ziwe ni za jina la muuzaji au vinginevyo kuwe na prove ya uhalali wa yeye kuuza hilo gari, na ikiwezekana mwambie mkafanye name transfer kabisa TRA , kwa maana uwe na TIN yako kabisa, ili umkabidhi pesa ya manunuzi card ikiwa tayari katika jina lako....ukiona anaona kama una longolongo ujue kuna walakini...kama ni dalali basi hakikisha unamalizana nae akiwepo mwenye gari mwemyewe.
Labda itasaidia!!
 
Back
Top Bottom