Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 154
- 286
Au sioHello!, jf members.
Nowdays, members wengi wa JamiiForums wamekuwa wakipost mambo ya siasa ambayo hayana mchango mkubwa katika maisha yetu so nilikuwa naomba tu-focus pia na majukwaa mengine.
Wanafata mkumbo"Siasa Haina mchango mkubwa kwenye maisha yenu ???
Wewe dogo kilaza kweli
Madogo chenga sanaWanafata mkumbo
Lakini kwa upande wangu bado sijaona umuhimu wa siasaSiasa inaamua maisha yako mkuu. Binafsi naishukuru JF imenitoa ushamba sasa najifunza mambo ya siasa.
Na pia JF ndo sehemu pekee tz watu wanaweza kuongelea siasa kwa uhuru.
Hayo mambo mengine hata instagram utayapata.
Katombwee ,*****Hello!, jf members.
Nowdays, members wengi wa JamiiForums wamekuwa wakipost mambo ya siasa ambayo hayana mchango mkubwa katika maisha yetu so nilikuwa naomba tu-focus pia na majukwaa mengine.
unavyosema 'nowdays' watu wanapost sana siasa unamaanisha wewe ni mkongwe humu?Lakini kwa upande wangu bado sijaona umuhimu wa siasa
usi-panic tumia akili bro.Katombwee ,*****
WanazinguaMadogo chenga sana
Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamoWanazingua
https://www.facebook.com/Hello!, jf members.
Nowdays, members wengi wa JamiiForums wamekuwa wakipost mambo ya siasa ambayo hayana mchango mkubwa katika maisha yetu so nilikuwa naomba tu-focus pia na majukwaa mengine.
Upo la ngapi?Lakini kwa upande wangu bado sijaona umuhimu wa siasa