Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,467
- 3,496
mimi sio mkongwe ila inaonekana jukwaa la siasa limevutia wengi kuanzia mwaka wa uchaguzi 2025.unavyosema 'nowdays' watu wanapost sana siasa unamaanisha wewe ni mkongwe humu?
🚮🚮Siasa haina shida ndo maisha mkui,
Tatizo la wana jf wengi ni wafuasi wa Mange kimavi na shoga wake Maria Sarungi,.
Ndo maana wanaonekana kama mazezeta.
Kula kulala kujamba na kupupu anaelewa nini huyo?Bwana mdogo unazingua siasa haina mchango?
sijabahatika kwenda shule bro.Upo la ngapi?
Vincenzo Jr hawa kesho wakamatwe wakafanye kazi za Kijiji fasta , kazi kuzurura na mitepesho na vijogooo gademittsijabahatika kwenda shule bro.
Itabidi sasa ubadili na jina usiwe tena mshamba_hachekwi coz hatuna cha kukucheka tena.Siasa inaamua maisha yako mkuu. Binafsi naishukuru JF imenitoa ushamba
Dogo amebaleheItabidi sasa ubadili na jina usiwe tena mshamba_hachekwi coz hatuna cha kukucheka tena.
Japo siku hizi wenye akili wachache sioni hoja kama za enzi hizo 2010- 2015 kulikuwa na mijadala mikali balaaaa humu na wanasiasa wote wakubwa walikuwepoHello!, JamiiForums members.
Nowdays, members wengi wa JamiiForums wamekuwa wakipost mambo ya siasa ambayo hayana mchango mkubwa katika maisha yetu so nilikuwa naomba tu-focus pia na majukwaa mengine.
Umerudi dogo ? karibu tena JfUmeonja chimpumu.
pamoja mkuu.Umerudi dogo ? karibu tena Jf
Nimefika kijana wangu, nijuze!
Nilikumiss tu auntNimefika kijana wangu, nijuze!
Sawa nitajitahidi nisipotee tena!Nilikumiss tu aunt
Usipotee tena