Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Kampuni ya meta imetoa ripoti inayoonyesha Kuna akaunti za watumiaji wengi wa Facebook ambao ni marehemu wamekufa ila bado akaunti zipo na zinafanya Kazi.
Ripoti iyo inaonyesha zaidi ya watu milioni 30 wa Facebook ni za akaunti ambazo wahusika wake wameshakufa kitambo tu lakini zipo mpaka Leo.
Facebook imesema tunajua Kuna baadhi ya watu wamekufa kitambo na akaunti zao zipo kwaiyo ndo tuziondoe ?? Hapana izo ni kumbukumbu muhimu kwa ndugu jamaa na marafiki walioondokewa na watu wao muhimu.
Lakini Facebook imetangaza unaweza kuseti mfumo mpya ambao ikitokea umekufa basi akaunti yako anapewa ndugu, jamaa na rafiki kuweza kuiendeleza au kuifuta wakitaka.
Fanya hivi >> ingia setting>>privacy>>kisha setting>> Access and control>>Memorization>> chagua namba ya mtu unayetaka atakayeweza kurithi akaunti yako.
Ukitaka kufuta akaunti sasa ingia kwenye Facebook>> chagua menu option >> Help & support >> help center>> tafuta deceased user delete> chagua na kuweza kuondoa akaunti ya marehemu.
#facebooktips #facebookfeatures #fahamuzaidi #bongotech255