Zaidi ya asilimia 80 wamekosa mkopo Mzumbe University

Zaidi ya asilimia 80 wamekosa mkopo Mzumbe University

Aiseee hata mi nimeshangaa sana sijui tatizo nini hasa kwenye chuo cha mzumbe.. Serikali ilitazame swala hili kwa makini.
 
Ukisoma tcu guied book mzumbe kuna kozi moja tu ambayo ina priority zingine zote hamna sasa kaka hata ukilalamika watakuliza maelekezo hukuyaonaaaa? Na pale walisema wameandika zenye priority na zisizo ili ujue njia nyingne ya kupata pesaaa lakini poa kaka ukihisi hujatendewa haki fany u appeal gharama yake ni 5000 automatically hawata kunyima coz wanao fanya ni wachache sanaaaa ingawa HESLB wana boa na poleni kaka
 
Jamani matatizo mengine mnajitafutia wenyewe, mlishapewa mwongozo kuna course hazijapewa kipaombele na serikali na wewe ukajichomeka ukouko, wakati umeambiwa kabisa

Swala ni moja serkali pesa zote zimeishia kwenye bunge la katiba kwahiyo hayo mambo ya priority na non priority ni mbwe mbwe tu za watawala kwahyo ulitaka kila mtu asome ualimu na sayansi? Kwanini HESLB wasingesema kuwa kama mtu atachagua non priority asiaply kabisa, sasa kilichofanyika ni kupiga elfu30 za vijana na kuingia mitini.. Shame of this nation.
 
Lakini siyo sababu ya kunyimwa! Hivyo wangesema kwamba Atakayechagua kozi hii hatapata mkopo kabisa wakaona kama wote tusingeziacha but wao walisema non priority and siyo hawapati

sasa unachobishia ni mini?? madai yako ulikua una test zali.. kama ni non priority basi nikuna mawili kukosa au kupata ndo maana ukajitumbukiza uku ukiwaunayo precaution basi serikali isilaumiwe
 
Swala ni moja serkali pesa zote zimeishia kwenye bunge la katiba kwahiyo hayo mambo ya priority na non priority ni mbwe mbwe tu za watawala kwahyo ulitaka kila mtu asome ualimu na sayansi? Kwanini HESLB wasingesema kuwa kama mtu atachagua non priority asiaply kabisa, sasa kilichofanyika ni kupiga elfu30 za vijana na kuingia mitini.. Shame of this nation.

na wewe ndo walewale kwani hiyo guidebook ndo imeanzishwa mwaka huu hadi useme pesa zilipelekwa kwenye katiba?
 
Jaman mwaka huu ni majanga matupu ndugu zangu. Hv ukiamua kuahirisha masomo kwa mwaka huu afu uendelee tena mwakani, hao jamaa wa mikopo si watakutoza 30,000/ tena kwa kufanya application za mkopo mwaka huo?
Au hua inakuaje jaman.
 
Wadau hii suala vip, serikali inalichuliaje, chuo pia kinalichukuliaje hili suala?
Zaidi ya 80% wanafunzi walioomba mkopo heslb na wakabahatika kuchaguliwa Mzumbe university tumekosa mkopo, Mfano BBA. PLM tulichaguliwa wanafunzi 103, ambao wamepewa mkopo ni 10 tu.
Pia BSEPD waliochaguliwa ni zaidi ya 100 waliopata mkopo ni wanafunzi 6 tu.
Je sisi watoto wa wakulima na masikini wa kutupwa tutaenda wapi? Ndo kusoma imetoka au la! Serikali inalizunguziaje hili? Mwisho naomba ushauri,
NIFANYE NINI ILI NISOME? USHAURI

Pole mdogo wangu but shukuru pia kwa fursa uloipata....

Mzumbe uzuri wake gharama za maisha ziko chini ukilinganisha na kwingine so kakomae tu Kama wazazi wanauwezo Wa kujitahidi kulipa Ada kwa instalments utatoka..
 
Pole sana, haya ndio matatizo ya kuwa na Serikali ambayo vipaumbele vyake havijali maslahi ya Taifa. Kwa mfano malipo ya 300K kwa wajumbe wa BMP, safari za Kikwete nchi za nje ambazo hazina maslahi yoyote kwa Taifa n.k.

Wadau hii suala vip, serikali inalichuliaje, chuo pia kinalichukuliaje hili suala?
Zaidi ya 80% wanafunzi walioomba mkopo heslb na wakabahatika kuchaguliwa Mzumbe university tumekosa mkopo, Mfano BBA. PLM tulichaguliwa wanafunzi 103, ambao wamepewa mkopo ni 10 tu.
Pia BSEPD waliochaguliwa ni zaidi ya 100 waliopata mkopo ni wanafunzi 6 tu.
Je sisi watoto wa wakulima na masikini wa kutupwa tutaenda wapi? Ndo kusoma imetoka au la! Serikali inalizunguziaje hili? Mwisho naomba ushauri,
NIFANYE NINI ILI NISOME? USHAURI
 
Jaman mwaka huu ni majanga matupu ndugu zangu. Hv ukiamua kuahirisha masomo kwa mwaka huu afu uendelee tena mwakani, hao jamaa wa mikopo si watakutoza 30,000/ tena kwa kufanya application za mkopo mwaka huo?
Au hua inakuaje jaman.

Ni bora ujitahidi ukasome mwaka huu then uta appeal au kuomba as a continuing student kuliko kuacha then mwakani ukakosa ukajutia muda uliopoteza....

wakati ni huu ya mwakakesho huyajui yatakuwa ya rangi gani...

All the best..
 
Lakini siyo sababu ya kunyimwa! Hivyo wangesema kwamba Atakayechagua kozi hii hatapata mkopo kabisa wakaona kama wote tusingeziacha but wao walisema non priority and siyo hawapati

Hahahaha,kweli ww kilaza ni halali kabisa unyimwe mkopo,umeambiwa non priority still u keep on waiting????
 
msikate tamaa wadogo zangu! Mimi nilikosa mkopo ila nilijipa commitment na kwa uwezo mdogo wa familia yangu na kujibana sana mwaka huu nimemaliza na natarajia ku-graduate nikiwa kati ya wenye GPA kubwa darasani kwangu! Cha muhimi USIKATE TAMAA HATA SIKU MOJA
 
Back
Top Bottom