Mbutu Wazagamba
Member
- Aug 13, 2014
- 29
- 8
A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee hata mi nimeshangaa sana sijui tatizo nini hasa kwenye chuo cha mzumbe.. Serikali ilitazame swala hili kwa makini.
Jamani matatizo mengine mnajitafutia wenyewe, mlishapewa mwongozo kuna course hazijapewa kipaombele na serikali na wewe ukajichomeka ukouko, wakati umeambiwa kabisa
Lakini siyo sababu ya kunyimwa! Hivyo wangesema kwamba Atakayechagua kozi hii hatapata mkopo kabisa wakaona kama wote tusingeziacha but wao walisema non priority and siyo hawapati
Swala ni moja serkali pesa zote zimeishia kwenye bunge la katiba kwahiyo hayo mambo ya priority na non priority ni mbwe mbwe tu za watawala kwahyo ulitaka kila mtu asome ualimu na sayansi? Kwanini HESLB wasingesema kuwa kama mtu atachagua non priority asiaply kabisa, sasa kilichofanyika ni kupiga elfu30 za vijana na kuingia mitini.. Shame of this nation.
mhh pole.. may be unaweza ukafanikiwa sijui lakininisaidie procedures za kufanya appeal
Wadau hii suala vip, serikali inalichuliaje, chuo pia kinalichukuliaje hili suala?
Zaidi ya 80% wanafunzi walioomba mkopo heslb na wakabahatika kuchaguliwa Mzumbe university tumekosa mkopo, Mfano BBA. PLM tulichaguliwa wanafunzi 103, ambao wamepewa mkopo ni 10 tu.
Pia BSEPD waliochaguliwa ni zaidi ya 100 waliopata mkopo ni wanafunzi 6 tu.
Je sisi watoto wa wakulima na masikini wa kutupwa tutaenda wapi? Ndo kusoma imetoka au la! Serikali inalizunguziaje hili? Mwisho naomba ushauri,
NIFANYE NINI ILI NISOME? USHAURI

Jaman mwaka huu ni majanga matupu ndugu zangu. Hv ukiamua kuahirisha masomo kwa mwaka huu afu uendelee tena mwakani, hao jamaa wa mikopo si watakutoza 30,000/ tena kwa kufanya application za mkopo mwaka huo?
Au hua inakuaje jaman.
Lakini siyo sababu ya kunyimwa! Hivyo wangesema kwamba Atakayechagua kozi hii hatapata mkopo kabisa wakaona kama wote tusingeziacha but wao walisema non priority and siyo hawapati
Hahahaha,kweli ww kilaza ni halali kabisa unyimwe mkopo,umeambiwa non priority still u keep on waiting????
na wewe ndo walewale kwani hiyo guidebook ndo imeanzishwa mwaka huu hadi useme pesa zilipelekwa kwenye katiba?
umeonaeeee
kwakua umeelewa eeh!Ngoja nipite cool namna hii..