Zaidi ya asilimia 80 wamekosa mkopo Mzumbe University

chuon kwetu Tia waliopewa mkopo wote ni fm6, au majina ya diploma yatafata baadae ?, msaada mwenye tetes zozot juu ya hil jambo mana ata Ifm na Mzumbe ivo ivo
 
Bt nasikia mkopo wanatoa kwa awamu hvi ni kweli au ndo basi hvyo,,,, mana me mwenyewe nimekoxa na nimesoma shule za kata,,, ila kuna mkaka wa chuo kanipa hpe mkopo unatoka kwa awamu kwahyo nisiwe na hofu sana,,,,
 
kama umeona sio priority and still una apply it means utaweza kujilipia incase ukikosa so ni logic tu hapo imetumika
 
Kama we ni mtoto wa mkulima ulikuwa unajaza nini coz za pale wakati unajua ni non priority
 
HIVi wewe unasema serikali isilaumiwe kivipi mfano mi nilichgua coz tano 4 priolty 1 non nikapelekwa non hapo mzumbe bhsm na sijapata kitu wamepata watu 7 kati ya 90 na hivi unadhani hiyo ni haki na wote watoto wa wakulima
:angry::angry:
 
calm down na fikiria plan B sisi hatuna cha kukupa
 
kaandamane basi ili upewe iyo equality... amini usiamini husawa hakunaga ata siku moja co tz tu
 
HIVi wewe unasema serikali isilaumiwe kivipi mfano mi nilichgua coz tano 4 priolty 1 non nikapelekwa non hapo mzumbe bhsm na sijapata kitu wamepata watu 7 kati ya 90 na hivi unadhani hiyo ni haki na wote watoto wa wakulima
:angry::angry:

ukishaambiwa kitu ni non priority unajazaje na uliambiwa utapangwa kozi yoyote kati ya ulopangwa
 
HIVi wewe unasema serikali isilaumiwe kivipi mfano mi nilichgua coz tano 4 priolty 1 non nikapelekwa non hapo mzumbe bhsm na sijapata kitu wamepata watu 7 kati ya 90 na hivi unadhani hiyo ni haki na wote watoto wa wakulima
:angry::angry:

Unataka kusemaje Sasa kwa Mfano...
 
baada ya english kukuwezesha kufaulu hyo economics unaanza madharau eee
 
Jamani matatizo mengine mnajitafutia wenyewe, mlishapewa mwongozo kuna course hazijapewa kipaombele na serikali na wewe ukajichomeka ukouko, wakati umeambiwa kabisa

Kwa hiyo maskini waache kusoma vile wanavyopenda kwa vile sio kipaumbele?
 
huyu kijana anaonekana kupisha sana au tukuchoree mchoro kabisa ndio upate uelewa wa kuwa program uliyoomba haina mkopo? cha kufanya tena fasta ingia website ya tcu ujaze form ya transfer uombe kubadilishiwa chuo na uchague program yenye mkopo lasivyo mwaka huu swala la chuo lisahau kabsaa coz ukienda kule bila hela hawakuelewi kabsaaa!
 
tena na serikali inekufungulia mlango pia yakuwa unachoenda kukisoma hakina ajira coz baada ya kuhitimi utajilaumu tena kwanini hukusoma education?
 
Maskini wote kozi zetu ni ualimu na Sayansi kozi za utawala tuwaachie watawala wenye nazo,nyie maskini mnachagua kozi za utawala,sheria ili mmtawale nani?
Nadhani ingekuwa njema zile za nani priority wangetoa mkopo hata kwa asilimia 30 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…