Zaidi ya bilioni 200 kutumika kutandaza mkongo wa Taifa wa mawasiliano wenye urefu wa 4244km kwa kutumia miundombinu ya TANESCO

hizo ela wagawie wanafunz wale maandaz, hat huu uliopo walitudanganya ivoivo garama zitapungua ikaw vice versa
versa
billion 200÷60m=3333.3
 
Wizara ya February hiyo
 
😂😂😂😂😂😂😂 wanajamba kwenye maji
 
Huyo boya aliebariki 1GB tuuziwe buku 3 unamuona mtu 😅 kweli?
 
Ukiona hivyo ujue Kuna tozo mpya inatakiwa ianze kutekelezwa
Wajinga wanachekelea tu washajisahau😅 tena yani Watanzania vichwa panzi sana!

Hizo Billion 200 lazma mzichange tena. Utaskia siku sio nyingi kila mwenye line atakatwa buku kila mwezi ili kuchangia usambazaji wa Mkongo wa taifa!😂 Tujiandae kisaikolojia yani kama si 1GB kuuziwa elfu 4 bila soni
 
Habari za kujengwa kwa mkongo wa taifa na kuanza kutumika zilikuwepo toka Kikwete akiwa anaingia madarakani. Pesa zikatolewa na ujenzi wa huo mkongo ukaanza kipindi kile kile. Mpaka leo hii ni hadithi tu za kusadikika kuhusu faida tulizohaidiwa. Ni sawa sawa na ule ujenzi wa bomba la gesi la Mtwara na faida zake. Ni upigaji mtupu.

Sasa leo tena tunasikia ujenzi wa mkongo wa taifa! Sijui tunarudia kujenga?
Muda usio mrefu tutasikia tena tunaanza ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara.
 
Sure 😅
 
RIP Prof Anatory jamaa ndio eneo lake hili daaah, mwamba alikuwa anaipiga Electromagnetism mpaka unaelewa.
 
 
 
'Miundombinu ya TANESCO', kwamba mkonga utaning'inizwa kwenye nguzo za umeme ama...!?
 
 
Nakushukuru kwa maono yako, lakini ili ufike kesho unahitaji maono. Haya yanayofanyika sasa kama vile kutia saini, kuzindua n.k.yametokana na maono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…