Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni waya mkuu sio mkonga'Miundombinu ya TANESCO', kwamba mkonga utaning'inizwa kwenye nguzo za umeme ama...!?
Tofauti ni ipi kati ya mkonga na waya...!?Ni waya mkuu sio mkonga
Wizara ya February hiyoZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO
"Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana na Shirika la umeme Tanzania (TANESCO). Mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa gharama za huduma za Mawasiliano Tanzania na kufikisha huduma za intaneti kwa maeneo mengi Nchini kwa kutumia mradi unaojulikana kwa jina la "FIBER TO HOME kwa sababu Mawasiliano ni haki ya kila Mtanzania na lazima yafike Nchi nzima ". - Ameyasema hayo Mhe. Dr. Faustine Ndugulile Waziri wa Mawasiliano na technolojia ya habari wakati wa halfa ya utiaji saini Mkataba Kati ya Wizara ya Mawasiliano na teKnolojia ya habari na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Ujenzi wa Miundombinu ya Mkongo wa taifa wa Mawasiliano kwa kutumia miundombinu ya umeme. Leo jijini Dar es Salaam
View attachment 1928034
View attachment 1928036
View attachment 1928037
View attachment 1928038
View attachment 1928039
View attachment 1928040
😂😂😂😂😂😂😂 wanajamba kwenye majiAnasema "mradi huo utapunguza kwa kiasi kubwa gharama za huduma za maendeleo na kufikisha huduma za internet kwa maeneo mengi Tanzania " huku mnafungia YouTube na twitter sasa internet mnaimairisha kwa matumizi gani ,mna akili za kujifunika shuka na kujamba sijui unamkomoa nani hapo.
Huyo boya aliebariki 1GB tuuziwe buku 3 unamuona mtu 😅 kweli?Hawa mawaziri nawakubali sana. They are real ministerial materials. Maono yao ni'' nini tuwafanyie watanzania na sio nini watanzania watufanyie''. Miradi,mipango na sera zinazotekelezwa ina mwelekeo wenye manufaa mapana kwa taifa na hata mtu mmoja mmoja.
Wajinga wanachekelea tu washajisahau😅 tena yani Watanzania vichwa panzi sana!Ukiona hivyo ujue Kuna tozo mpya inatakiwa ianze kutekelezwa
Hio fibre ikitandazwa gharama zitaongezeka mara dufu! HamtaaminiDaaah unapata huduma ya fiber na tozo juu hatari sana
Sure 😅Wajinga wanachekelea tu washajisahau😅 tena yani Watanzania vichwa panzi sana!
Hizo Billion 200 lazma mzichange tena. Utaskia siku sio nyingi kila mwenye line atakatwa buku kila mwezi ili kuchangia usambazaji wa Mkongo wa taifa!😂 Tujiandae kisaikolojia yani kama si 1GB kuuziwa elfu 4 bila soni
ZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO
"Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana na Shirika la umeme Tanzania (TANESCO). Mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa gharama za huduma za Mawasiliano Tanzania na kufikisha huduma za intaneti kwa maeneo mengi Nchini kwa kutumia mradi unaojulikana kwa jina la "FIBER TO HOME kwa sababu Mawasiliano ni haki ya kila Mtanzania na lazima yafike Nchi nzima ". - Ameyasema hayo Mhe. Dr. Faustine Ndugulile Waziri wa Mawasiliano na technolojia ya habari wakati wa halfa ya utiaji saini Mkataba Kati ya Wizara ya Mawasiliano na teKnolojia ya habari na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Ujenzi wa Miundombinu ya Mkongo wa taifa wa Mawasiliano kwa kutumia miundombinu ya umeme. Leo jijini Dar es Salaam
View attachment 1928034
View attachment 1928036
View attachment 1928037
View attachment 1928038
View attachment 1928039
View attachment 1928040
Kwa hili Mama Samia hongera kwa ubunifu.
wizara na taasisi zinakiwa kufanya kazi kama timu moja
Tunasubiri Nina na vitengo vingine ikiwemo kitengo cha Passport wasainiane mikataba kusomana online ili kusiwe na haja ya mtu kubeba midocuments manually akishajaza online
Idara ya uhamiaji na NIDA wako wizara moja lakini hawasomani
Hawa mawaziri nawakubali sana. They are real ministerial materials. Maono yao ni'' nini tuwafanyie watanzania na sio nini watanzania watufanyie''. Miradi,mipango na sera zinazotekelezwa ina mwelekeo wenye manufaa mapana kwa taifa na hata mtu mmoja mmoja.
'Miundombinu ya TANESCO', kwamba mkonga utaning'inizwa kwenye nguzo za umeme ama...!?
Ndio maana yake[emoji3]
Mtalipia kupitia luku😅'Miundombinu ya TANESCO', kwamba mkonga utaning'inizwa kwenye nguzo za umeme ama...!?
Good idea! TTCL hawana miundo mbinu ya kutosha ndo maana hata utandazaji wake ukaishia kwenye baadhi ya sehemu tu! Sasa sijui kuna technlojia ipi, lakini kama inawezekana kutandaza mkongo wa mawasiliano kupitia lines za TANESCO, na kwavile TANESCO imeenda hadi vijijini, basi usambazaji wake utafika mbali zaidi kuliko ilivyokuwa upande wa TTCL
Hata hivyo, interest yangu sio kushuka bei, kwa sababu I bet haitashuka lakini angalau huduma itaweza kupatikana hadi vijijini
Nakushukuru kwa maono yako, lakini ili ufike kesho unahitaji maono. Haya yanayofanyika sasa kama vile kutia saini, kuzindua n.k.yametokana na maono.